!!!!!!!Mapenzi!!!!!!!

mhh kweli hii ni free style,penda unapopendwa

Mapenzi kitu gani?
Tunapenda tusipopendwa!

wasiwasi unakuwepo ila ni bora kuwa na wasiwasi kabla hujaingia kwenye mahusiano (itakufanya uwe makini ) kuliko unakuwa na wasiwasi wakati tayari upo ndani ya mahusiano.

sasa ukiwa na wasiwasi kabla ya mahusiano huoni kama utakuwa addicted?

Nasamehe ila kidonda kinakuwa hakiponi. Kidonda cha kutendwa achana nacho, hakiponi haraka...hakitibiki hata kwa miti shamba...

sasa si bora tusipende kabisa?

wakati wa kufungishwa ndoa uliambiwa mmekuwa mwili mmoja!! Sasa inakuaje usijiamini?
Hayo maneno yanabaki kuwa maneno, najiamini ila yeye ndo simwamini kwa asilimia 50..

sasa ukiwa na wasiwasi kabla ya mahusiano huoni kama utakuwa addicted?

addicted to wasiwasi..mmh!
Hapana, utakuwa makini usiingie hovyo hovyo kwenye mahusiano.

Hayo maneno yanabaki kuwa maneno, najiamini ila yeye ndo simwamini kwa asilimia 50..

basi unaweza kumchukia mumeo bila sababu, hata kama hajafanya kosa we ni out of mind.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…