ashrei brown
Member
- Dec 10, 2012
- 9
- 3
ushauri jamani wana JF
Umeamua kuingia katika mahusiano na mwanaume uneyefikiri kuwa kuwa ni chaguo sahii kuwa nae na unampenda sana.
Kakujengea mazingira ya uwazi, upendo mpaka mmefikia makubaliano ya muoane unachukua uamuzi wa kuwaeleza wazazi wako..
Anakuwa mwepesi sana wa kushiriki katika maswala yanayokuhusu na anakushirikisha katika mambo yake hivyo kakujengea uaminifu mkubwa.. Pmoja na hayo yote unagundua mwanaume huyo ni mume wa mtu.Je INGEKUWA NI WEWE UNGEFANYEJE?