Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #61
okHapana, ila najua nitafauti, mmoja alikua msanii wa sinema za mapigano, mmoja msanii wa kuimba
okHapana, ila najua nitafauti, mmoja alikua msanii wa sinema za mapigano, mmoja msanii wa kuimba
ode mbemanka kesho uamkie hapa singa kati njia panda boro.
acha tu
Woyooooooooo Leo nimeamka na Shaba Ranks
Nakumbukaga zamani huu wimbo wa Ting a ling a ling nilivyokuwa nauimba zamani na sasa nikiangalia Lyrics nacheka kihutu
Eti nilikuwa naimba hivi:
Ting'aling'ali
Shabaransi
Nanananananaa X2 (hapo namumunya maneno)
Kapuye Kapuye kama Shabaransi
Shabaransi anasema starehe hazina mwisho
Kwenda Kwenda mpaka kule masjidi kumpata msichana yani mpaka ulipie x2
Kapuye Kapuye kama Shabaransi
Ting'aling'aling Shabaransi
Nanananananaa X2
Kapuye Kapuye kama Shabaransi
Shabaransi anasema starehe hazina mwisho
Kuja kuangalia OG lyrics dah nimeshindwa hata kuisoma labda nikivuta la Jamaica nitaielewa
Woyooooooooo nampendaje shaba ranks sijui yupo hai au kafa?!
Kapuye Kapuye
Aka Money penny
Money penny nimedondoka Darisalamaa
Wouyooooooooooo
Ps:
Sijavuta kitu ya Arusha nipo sober jama
Heheenzi za baba wa taifa dah aisee
Sanaawhen i was a young boy in primary school nyimbo ilibambaa
yes primary....pale mitaa ya kibasila na mfaumeSanaa
doh primary?!
i seeyes primary....pale mitaa ya kibasila na mfaume
Unatania au mara moja moja hakika huwa unatafuta cha jamaica?Kuja kuangalia OG lyrics dah nimeshindwa hata kuisoma labda nikivuta la Jamaica nitaielewa
Woyooooooooo nampendaje shaba ranks sijui yupo hai au kafa?!
Situmii chochote best elewaUnatania au mara moja moja hakika huwa unatafuta cha jamaica?
Kuwa wewe afande Acha maswaliwhat have you noticed after seeing...🙂😎
aya naacha maswali ndugu yangu.....AFANDE KIFIMBO NASEMA WOTE MGUUU PANDE MGUU SAWAKuwa wewe afande Acha maswali
...1.Murder She wrotePliers na Chaka Demus walikuwa washindani wakubwa wa Shaba Ranks.
Hasa no 1 na 3 napenda sana hizo nyimbo...1.Murder She wrote
2. Tease me
3. She dont let nobody
zilikuwa moto