Mapenzi yangu kwa Shaba Ranks...

Mapenzi yangu kwa Shaba Ranks...

hahahaha
shabalanksiii kapuya kapuyaa.

hapo nilikuwa naongeza verse zangu.
ukimpenda demu, na demu kakupenda.
ukipanda juu demu kakataa,
ukishuia chini demukakubaliiiiii

king popadiki mrema hana dhiki, kaacha uwaziiri kagombea uraisiiii.

ujuqji mwingii, kumbe tatizo lugha
hahahhaa
 
Hahahaha
jana kanipa mechi ya kihuni ya mwaka 2018 sijui kaitoa wapi jamaa nimeamka chiu yote inawaka moto nimejileta seacliff kuanika chiu yangu ipigwe upepo wa bahari
Hahah naona uko tong ting mbaya kabisa, superhigh!
 
Hahahaha
jana kanipa mechi ya kihuni ya mwaka 2018 sijui kaitoa wapi jamaa nimeamka chiu yote inawaka moto nimejileta seacliff kuanika chiu yangu ipigwe upepo wa bahari
Acha aikune tuu si ndio kazi yake, anakujua we Mzee wa social media kama le mutuz akikukuna kidogo hukawii kuja kimuanzishia uzi huku
 
Woyooooooooo Leo nimeamka na Shaba Ranks

Nakumbukaga zamani huu wimbo wa Ting a ling a ling nilivyokuwa nauimba zamani na sasa nikiangalia Lyrics nacheka kihutu

Eti nilikuwa naimba hivi:
Ting'aling'ali
Shabaransi
Nanananananaa X2 (hapo namumunya maneno)
Kapuye Kapuye kama Shabaransi
Shabaransi anasema starehe hazina mwisho
Kwenda Kwenda mpaka kule masjidi kumpata msichana yani mpaka ulipie x2
Kapuye Kapuye kama Shabaransi

Ting'aling'aling Shabaransi
Nanananananaa X2
Kapuye Kapuye kama Shabaransi
Shabaransi anasema starehe hazina mwisho

Kuja kuangalia OG lyrics dah nimeshindwa hata kuisoma labda nikivuta la Jamaica nitaielewa

Woyooooooooo nampendaje shaba ranks sijui yupo hai au kafa?!

Kapuye Kapuye
Aka Money penny
Money penny nimedondoka Darisalamaa
Wouyooooooooooo
Ps:
Sijavuta kitu ya Arusha nipo sober jama

Sasa naomba uyahamishie kwangu
 
Ting-a-ting-a-ting-a-l-ting-a-l-ting-a-li-ting-a-li-ting-a-lin-ting-aling-ting-a-ling!
What son tell 'em up? Is a Shabba thing. Suckling scene.(Ting-a-ling-a-ling)
Yard aand foreign kick up, Bruk wil'! (sing)
Ting-a-ling a ling, dancehall it swing, DJ head stuck up when hear boom riddim.
Ting-a-ling a ling, schoolbell a ring, knife and fork ah fight fi dumplin.
Booyaka! Booyaka! call for Shabba Rankin
Shabba Ranks jus' appear and tear annadda man chin through.
Dem a di don, to di biz we av di key,
Put di don to di key and turn him inna donkey - yes.
Dem a di don, to di biz we av di key,
Put di don to di key and turn him inna donkey.
Who dey tink dey are yes dey cyaan lure me
I am di general in di DJ army
Who dot all di I and cross all di T
And set…
 
hahahaha
shabalanksiii kapuya kapuyaa.

hapo nilikuwa naongeza verse zangu.
ukimpenda demu, na demu kakupenda.
ukipanda juu demu kakataa,
ukishuia chini demukakubaliiiiii

king popadiki mrema hana dhiki, kaacha uwaziiri kagombea uraisiiii.

ujuqji mwingii, kumbe tatizo lugha
hahahhaa
Hataree mzazi
 
Back
Top Bottom