Mapenzi yangu kwa Shaba Ranks...

Mapenzi yangu kwa Shaba Ranks...

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,204
Reaction score
17,561
Woyooooooooo Leo nimeamka na Shaba Ranks

Nakumbukaga zamani huu wimbo wa Ting a ling a ling nilivyokuwa nauimba zamani na sasa nikiangalia Lyrics nacheka kihutu

Eti nilikuwa naimba hivi:
Ting'aling'ali
Shabaransi
Nanananananaa X2 (hapo namumunya maneno)
Kapuye Kapuye kama Shabaransi
Shabaransi anasema starehe hazina mwisho
Kwenda Kwenda mpaka kule masjidi kumpata msichana yani mpaka ulipie x2
Kapuye Kapuye kama Shabaransi

Ting'aling'aling Shabaransi
Nanananananaa X2

Kuja kuangalia OG lyrics dah nimeshindwa hata kuisoma labda nikivuta la Jamaica nitaielewa

Woyooooooooo nampendaje shaba ranks sijui yupo hai au kafa?!

Kapuye Kapuye
Aka Money penny
Money penny nimedondoka Darisalamaa
Wouyooooooooooo
Ps:
Sijavuta kitu ya Arusha nipo sober jama

Kunywa maji upoze koo
 
Leo naona shem kakupatia vizuri si kwa mzuka huu,anafanana na shaba ranks mini unyoaji wake
 
Back
Top Bottom