Mapenzi yanaumiza

30yrs
Vipi mlifunga ndoa au mlikuwa kwenye field ya ndoa??
Vp nlkuwa na malengo yoyote???
 
Duh... Bikira una miaka 30. Aisee hongera sana kwa kujitunza. Lakini nikupe pole kwa yaliyokufuata.
Cha msingi utumie muda huu kujikita na kuboresha uchumi, kama upo vema kiuchumi basi tengeneza hobby ya kukuweka busy.
 
Maneno mazito sana shukran umempa ushauri murua sana
 

Tutolee unafiki wako hapa 30 yrs mwanaume wako wa kwanza stupid you aint talking to kids here
 
Kwahyo alikukuta bk bdo?
 
Polee totoo...njoo tuungane pamoja 🤔🤔
 
Anzisha mahusiano mapya, Ila usipeane kwanza.
 
Kaza tu baada ya muda utapona.
Mapenzi ndivyo yalivyo hayana formula wala fundi.
 
Akiwa hana nguvu za kiume wengi huwa na visirani na huingia kweny ulevi na kuanza manyanyaso kwa wake zao. Hapo dawa ni amroge tu
 
Wako wengi tu sema huwa wanapata wanawake malaya
 
Pole sana ili uweze kumsahau fanya ibada kwa wingingi pia tumia makombe ya sahau hivyo vitakusaidia
Yeye aendlee kufany ibada na kujituma sana kwny kaz zake atamsahau hayo makombe aachane nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…