The best advice she could use right now.Amekubikiri halafu akasepa. Na huyu huyu kesho na kesho kutwa utamkuta kwa akina Jokajeusi akilalamika kuwa siku hizi hakuna mabikra wa kuoa! [emoji51][emoji51][emoji51]
Kuhusu kuumia hakuna njia ya mkato binti yangu. Ni lazima uumie tu. Ila kwa kadri siku zinavyokwenda maumivu yataanza kupungua, kutaanza kupambazuka na hatimaye jua litachomoza tena, moyo wako utapona polepole; na furaha yako itarudi.
Jitahidi kujiweka bize. Kama una marafiki wa kweli kuwa nao karibu. Ndugu pia na hasa mama. Huu ndiyo wakati wa kumuomba akupe stori za usichana wake...pia soma neno la Mungu na kusali sana (kama ni muumini)
Na usiache kulia. Ukijisikia kulia we lia tu. Hiyo ndiyo tiba yenyewe hasa. Utapona na ukija kuangalia experience yako hii ya kwanza na wanaume utakuwa umejifunza mengi....
Na safari ndo imeanza rasmi sasa. It gonna be a bumpy ride ahead. You better fasten your seat belt. Kila la heri [emoji1545]
Na mimi nashangaa. Watu wanatoa ushauri as if wao wana demu au Mke Mmoja kumbe nao wahuni tu. Sema tu huyo mwanaume kakosea tu kukuonesha tabia hizo live bila haya ila alitakiwa afiche ujinga wake na akuoneshe upendo ila ndo ivyo pole . anyway kupata mwanaume wa Peke ako wapo ila either awe mlokole sana , upungufu wa nguvu za kiume, hana shughuli ya kueleweka, au umloge.Elewa tu hakuna mwanaume lijali mwenye mtu 1 never...mtuvumilie tu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]but why umeweka hiyo profile lakiniAmekubikiri halafu akasepa. Na huyu huyu kesho na kesho kutwa utamkuta kwa akina Jokajeusi akilalamika kuwa siku hizi hakuna mabikra wa kuoa! [emoji51][emoji51][emoji51]
Kuhusu kuumia hakuna njia ya mkato binti yangu. Ni lazima uumie tu. Ila kwa kadri siku zinavyokwenda maumivu yataanza kupungua, kutaanza kupambazuka na hatimaye jua litachomoza tena, moyo wako utapona polepole; na furaha yako itarudi.
Jitahidi kujiweka bize. Kama una marafiki wa kweli kuwa nao karibu. Ndugu pia na hasa mama. Huu ndiyo wakati wa kumuomba akupe stori za usichana wake...pia soma neno la Mungu na kusali sana (kama ni muumini)
Na usiache kulia. Ukijisikia kulia we lia tu. Hiyo ndiyo tiba yenyewe hasa. Utapona na ukija kuangalia experience yako hii ya kwanza na wanaume utakuwa umejifunza mengi....
Na safari ndo imeanza rasmi sasa. It gonna be a bumpy ride ahead. You better fasten your seat belt. Kila la heri [emoji1545]
Najivunia kupata Ph.D ya heshima [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]but why umeweka hiyo profile lakini
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
mademu wa kichaga mizinguo sanaMapenzi nyoko ,kuna lidada moja toka kule walikobalikiwa manyonyo na kunyimwa makalio alinitesa sana kabla sijajua siri hii...
Duh hii Avatar imenishtua sana! Itanisababishia Heart AttackDime la mbegu[emoji2440]
Na mimi nashangaa. Watu wanatoa ushauri as if wao wana demu au Mke Mmoja kumbe nao wahuni tu. Sema tu huyo mwanaume kakosea tu kukuonesha tabia hizo live bila haya ila alitakiwa afiche ujinga wake na akuoneshe upendo ila ndo ivyo pole . anyway kupata mwanaume wa Peke ako wapo ila either awe mlokole sana , upungufu wa nguvu za kiume, hana shughuli ya kueleweka, au umloge.
Pole SanaDuh hii Avatar imenishtua sana! Itanisababishia Heart Attack
[emoji2440][emoji2440]Duh!
Mkuu. Ukivuka 35+ huko inabidi sasa uanze kutulia na ukazane kuweka mambo sawa. Utafukuzana na mbususu mpaka lini? Kwenu vijana labda. Ila kama binadamu wa kawaida at some point itakulazimu utulie...and yes...wanaume marijali, wenye vihela vyao na wana mwanamke mmoja waaminifu kabisa kabisa wapo!
Maneno meeengi ili uwe na mwanaune wa peke yako tafuta asiye na hela....Na mimi nashangaa. Watu wanatoa ushauri as if wao wana demu au Mke Mmoja kumbe nao wahuni tu. Sema tu huyo mwanaume kakosea tu kukuonesha tabia hizo live bila haya ila alitakiwa afiche ujinga wake na akuoneshe upendo ila ndo ivyo pole . anyway kupata mwanaume wa Peke ako wapo ila either awe mlokole sana , upungufu wa nguvu za kiume, hana shughuli ya kueleweka, au umloge.
Asante, nimebaki najipenda mwenyewe tuu kwa sasa.Japo inanisumbua kuwa alone but nakomaa.Nakula,kunywa,vaa vile nataka.Asante
π π π π π π Wapi huko?Mapenzi nyoko, kuna lidada moja toka kule walikobalikiwa manyonyo na kunyimwa makalio alinitesa sana kabla sijajua siri hii...
DyadyaKwanini wanaume mnatuumiza wanawake hisia zetu, najuta kupenda. Nilikua na mwanaume nilimpenda haswaa na ndiye mwanaume wangu wa kwanza, nina miaka 30, tatizo la huyu mwanaume ni malaya sanaa, anawanawake wengi, sasa nimeamua kumuacha, japo nikikaa namkumbuka lakini sitaki niendelee kuumia, nifanye nini ili nimsahau kabisa.
Njoo pm nikupe dawaKwanini wanaume mnatuumiza wanawake hisia zetu, najuta kupenda. Nilikua na mwanaume nilimpenda haswaa na ndiye mwanaume wangu wa kwanza, nina miaka 30, tatizo la huyu mwanaume ni malaya sanaa, anawanawake wengi, sasa nimeamua kumuacha, japo nikikaa namkumbuka lakini sitaki niendelee kuumia, nifanye nini ili nimsahau kabisa.