Hata kama umerogwa?Pole, Siku nyingine kabla hujaingia katika mahusiano mapya chukua muda kumchunguza usiingie kichwa kichwa.
Asante kwa ushauriPole, Siku nyingine kabla hujaingia katika mahusiano mapya chukua muda kumchunguza usiingie kichwa kichwa.
Asante sana kwa ushauri mzuri na kunitia moyo,nitafanyia kazi . ubarikiwe sanaAmekubikiri halafu akasepa. Na huyu huyu utamkuta analalamika kuwa siku hizi hakuna mabikra wa kuoa siku hizi. Sad!
Sijawai kuamini kama hii ni namna sahihi ya kumfanya mtu asiumizwePole, Siku nyingine kabla hujaingia katika mahusiano mapya chukua muda kumchunguza usiingie kichwa kichwa.
Hakuna kitu kinaitwa kurogwa kwrnye mapenzi. Hiyo ni excuse ya kitoto kabisaHata Kama umerogwa?
Naomba nikuloge kwa maqhaba Detective J,Hakuna kitu kinaitwa kurogwa kwrnye mapenzi. Hiyo ni excuse ya kitoto kabisa
AsanteDada na mimi nimeumizwa na mwanamke kama wewe sina hamu hapa.Njoo tuponyane maumivu ikipendeza tuoane kabisa
AsanteFuraha na amani ya moyo utaipata kupitia wewe mwenyewe Ukitegemea mtu au kitu kikupe furaha utaumia Kila siku Kila kitu hubadilika Kitu pekee kisichobadilika ni mabadiliko yenyewe.
Try if you can hahahaNaomba nikuloge kwa maqhaba Detective J,