Ha haa nimependa hapo plan B... Ngoja namie niwe nayo just in caseHivi kwa maisha ya sasa unaanzaje kumwamin mwenziwe kwa 100% matokeo yake ndio kulialia ,siku zote uwe na plan B ikiwezekana hata na plan C
Nakuaminia nasubiri mrejesho
Ha haa sitamani utoke huko pm bila mafanikio aise
Ukiona kimya ujue ndio mambo yali shindikana
Ila nikifanikiwa na ku nta ku PM mafanikio yangu
AaahahahaHa haa sitamani utoke huko pm bila mafanikio aise
Kwahiyo wewe huna mpenzi????nikikataa wanaume watu wanasema ooh nimechanganyikiwa ni upuuzi kuwekeza kwenye mapenzi ,mwaka mzima umewekeza kwa mtu ona faida yake ila ungekuwa umewekeza kwenye maisha ungenunua japo vihisa vyako crdb au nmb siku kumi zijazo ungepata gawio lako japo dogo .asante Mungu kunipa uvumilivu .
pole sana mdada usijiue maisha ndivo yalivo humu
Kwa cc ambao bado hatujaoa tumeshaweka plan A-C mambo ya kulialia hatuna muda nayo, ni mwendo wa kumake Money sio kuumiza kichwa kwa vitu vidogoHa haa nimependa hapo plan B... Ngoja namie niwe nayo just in case
Unataka kujinyonga sababu ya papuchi au muwa?Nimekupenda with all my heart regardless hali duni yako.Nimekataa nusra kibao kwa ajili yako.Sikua mchoyo kwa chochote changu tulishirikiana,leo umeamua kufunga mwaka na mimi.Najua unanisoma hapa na ushajifahamu ila tambua siku zote ukimfanyia mtu madhila tegemea kulipwa hapa hapa akhera twaenda kuchukua hisabu tu..
Nachukua fursa hii kukuageni wana MMU wote na jf kwa ujumla nataka kuchukua maamuzi magumu.asanteni nawapenda
Kabla hujaondoka MMU hivi ushawahi kujiuliza kama huyo mwanaume ameondoka kwako baada ya Mola kumuona hana kheri na wewe? na kukuletea mwenye Kheri na wewe nikimaanisha ndoa huandikwa mbinguni na Mola na kukupa mwenye kheri na wewe. usichukuwe maamuzi yenye kuleta madhara duniani na kesho akhera, Jaribu kuondoa tatizo sio kuongeza tatizo. nakutakia maamuzi mema na yaliokuwa na wepesiNachukua fursa hii kukuageni wana MMU wote na jf kwa ujumla nataka kuchukua maamuzi magumu.asanteni nawapenda
Huwa siwaelewi wanao like
Say NO kuumizana kichwa kwakweliKwa cc ambao bado hatujaoa tumeshaweka plan A-C mambo ya kulialia hatuna muda nayo, ni mwendo wa kumake Money sio kuumiza kichwa kwa vitu vidogo