Mapenzi yanaumiza

Hiyo ni learning process anatakiwa ipitie kikamilifu i think its better we let her be. She ll learn.
Though i applaud your idea pia
Bas naona nafuu alie awezavyo alie sana kuondoa yaliyokuwamo moyoni Ila la kujidhuru naona atafika mbali Na kubaya zaidi
 
Mapenzi yetu mengi ya uongo. Mtu anajifanya anakupendaaaa kumbe yuko kwenye kuigiza na kiuhalisia wala hakupendi. Kuwa na kiasi katika love.
 
Unajiua? unarudi kijijini au hutaki tena mapenzi? Au unaenda kujenga ukuta maana yote ni maamuzi magumu!
 
Mwaka unaoondoka huooo!! Hata uupende vipi!!! Ni lazima uuache uende!!
 
Mapenzi yanaumiza jamani,,.,sishangai mtu akilia,,,,it hurts alot,,,,mtu hathamini upendo Wako,muda Wako anakubwaga Tu,,,mm sitaki Ata kusikis ntakuwa hivi mpaka mungu aamue mwenyewe.nimenyoosha mikono juu,,,,,.moyo,wangu koma kupenda kabisa,
 
Atajirekwbisha kasema
 
Pole shosti. Uyo dawa yake tafuta kijana mzuri aliyeshiba kiasi utoke naye out. Then unapiga naye picha na unapost kwenye whastp na fb wall yako.
Halaf hiyo itasaidia nn?!
 

Mi nakushauri ufanye tu hayo maamuzi yako magumu alaf urudi utupe mrejesho kama yanalingana na maumivu unayojidai kuleta hapa.

We sio malaika kwa iyo usitake kumnyanyasa mshkaji kwa kuwa ni maskini...
 
Hivi kwa maisha ya sasa unaanzaje kumwamin mwenziwe kwa 100% matokeo yake ndio kulialia ,siku zote uwe na plan B ikiwezekana hata na plan C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…