Mapenzi yanaumiza

Miss Natafuta mama kupotea njia ndio kujua njia

Hatuwezi kufanana hata vidole vya mikono Na miguu havifanani

Mapenzi yana nafasi yake Na hizo hela zina nafasi yake

Tumeumbiwa kupenda kuumia Na kusahau

N kitendo cha mda tu this too shall pass

Good men are for good women and vice versa is true
 
unaongea tu mamy ! ila yote yana mwisho
 
Mapenzi mapenzi mapenzi.......ni nini hiki kinatesa watu hivi??
 
Mapenzi yamefika mwisho hivyo kubali yaishe kimya kimya
 
Nahisi wewe ndio unaesemewa Napa
 
Achana na Huyo, kumuwazia ni sawasawa na kusikitikia M. A. V. I yangebaki ungepata shida zaidi bora Huyo mlalahoi amejitoa. Kuna wanaume zaidi ya bilioni sayari hii, Tupa huko Hilo lonyalonya
 
Wewe sio wa kwanza na wala hutokua wa mwisho kuumizwa au kupitia hayo unayoyapitia.
Jikaze futa machozi songa mbele.
Ukiweza kulipita hili jaribu hata hayo mengine yatakayofuta ya kimapenzi utaweza kuyavumilia.
Mapenzi hayana wenyewe na kama wapo ni wachache wengi tunatembea mulemule kwenye maumivu
 
Wala sio uongo nyani Mzee hukoswa Na mishale mingi

Kufikiria kuchukua maamuzi mabaya so solution

N kiasi cha kuona nmtihani tu Na mitihani ikupatayo tambua imo ndani ya uwezo wako kuitatua

Atakua sawa naamini
 
Hapa ndo uwa nasema cwez mlaumu mdada anaetembea na watu wazma ujui kaptia mangap had aafanye maamuz ya hvo
 
Pole shosti. Uyo dawa yake tafuta kijana mzuri aliyeshiba kiasi utoke naye out. Then unapiga naye picha na unapost kwenye whastp na fb wall yako.
 
Pole shosti. Uyo dawa yake tafuta kijana mzuri aliyeshiba kiasi utoke naye out. Then unapiga naye picha na unapost kwenye whastp na fb wall yako.
Unaweza usimuumize, kiki Za hivyo zinamgusa anayekupenda kweli Wengine waigizaji tu
 
Pole shosti. Uyo dawa yake tafuta kijana mzuri aliyeshiba kiasi utoke naye out. Then unapiga naye picha na unapost kwenye whastp na fb wall yako.
Haina haja

Tena ataonekana anafanya maksudi kabisaaa kwanza ya nini haya

Ajikaze japo yanauma alie atakavyoweza kuondoa lile linalomkabili

Ataweza kumsahau japo itamgharim
 
Mkuu subiri kwanza xmass na mwaka mpya vipite ili ujiue mwezi wa kwanza hii itatusaidia kula Tena pilau la hitma miezi ya pili hivi , maana ukiunganisha SAA hizi na hizi siku kuu hapana
 
Best hebu muelewane asee
Mambo ya kumuacha na nyimbo tuu sja kuelewa
[/QUOTE]
 
Noo! Let her do what she want
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…