Mapenzi yanaumiza

Unajuwa sis binadamu huwa tunalazimisha mambo kwa mfano unalazimisha lazima mtu fulani aniowe ujue kuna wqnawake wazur kwa kuuza sura wengine wazur kwa kufanya nao ngono ila wengine wanafaa kuwa wake na walez wazur wa familia. Unakuta mwanamke upo nae mjeur. Mjuwaji kila kitu yeye anajuwa .ukimwambia kitu anachujulia powa ubazani kuna mwanaume wa kizazi hiki atakuowa.. tatizo mnatamaa sana wadada punguzeni mpende mtu kwa moyo mmoja jifunze kumnyenyekea boy wako mbembeleze uone kama hatangangania kukuowa na raha ya ndoa aseme mwanaume sio mtoto wa kike unajingananiza ndoa matokeo yake unakimbiwa kanisani siku ya tukio.mim nilikuwa na girl niko naishi nae mkoa tofaut yey miez tisa au mwaka unapita aje akuone siku mbili anakwambia tuvumilie bize ba hela tu na ukiangalia mia tano ukimuomba akuazime hana basi akatokea mtoto mmoja nilimuliza mungu kwa nin huwa tunasumbuka asinioneahe mapema mtu wangu huyu yupo mpole wa kiasi anajali hata ninapoumwa na mafua tu hapendi kuomba omba hela anajiheshimu muonekano wake hadi mavaz yake anamuheahimu mungu na wanadamu.nikasema nikiwa sijamuowa huyu basi tena nisiowe tena nikatafute wa kutembea matako waz siwawez. Badilikeni wadada ndoa sio bongo movi
 
Nakufikilia sana wewe
 
Natumai wewe ndie mhusika
 
Usifanye maamuz magum hauko pekeako hata mm nmetoka kusalitiwa juzi,, hakiamungu nilijikuta machozi yakintoka tu,, askwambie mtu mapenzi yanatesa ww labda kam hukumpenda ase,,, pole sana ila vumililia tu haupo pekeako
 
Hayo maamuzi magumu hayahusu kitu. Bado una maisha marefu sana ya kuishi usijidhulumu uhai wako kwa mambo ambayo unaweza kabisa kuyasahau na maumivu yote kupotea.

 
Kuwaza maamuzi magum Na mabaya n ujinga

Imagine watu wako wa karibu wanavyokuchukulia

Leo ukajitoe mhanga sababu mwanaume mmoja tu

Jifunze kama hukupangiwa awe wako hawezi Kua hata Kwa dawa

Tena ukifosi yaweza kukuta mabaya ukajutia uamuzi wa kulazimisha

Jifunze kumwacha aende

Amekupa fundisho but hey not all men are the same

Watakutreat the way unavyojieka

Maamuzi unayoyataka kuyafanya jeee aliokutuma Mola wako umeyakamilisha?

Please don't do that
 
Usihukum hatufanani wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…