Mapenzi yanaumiza sana

Kisicho riziki broo achana nae endelea kutafuta utampata mnae pendana sio lazima kila umpendae umpate
 
Achana naye Hisia zako zitakutesa , elewatuu frenk alienda kwa lengo la chap chap , japo ulikuwa na malengo malefu na witness
Amini haikuwa riziki yako na Witness atajifunza mengi kutoka kwako.
Wako yupo , atakuja wakati hutegemei
 
Pole Mkuu.

Mapenzi yako hivi mtu unayempenda hakupendi, anayekupenda haumpendi unachukulia upendo wake poa.

Unavyoumia kuwa huyo binti hakupendi ni kawaida tu maana hata Wewe kuna mtu utakuwa unamuumiza bila kujua kama anakupenda.
 
Achana naye Hisia zako zitakutesa , elewatuu frenk alienda kwa lengo la chap chap , japo ulikuwa na malengo malefu na witness
Amini haikuwa riziki yako na Witness atajifunza mengi kutoka kwako.
Wako yupo , atakuja wakati hutegemei
Ngoja nisubiri ila inauma sana kwa kweli.
 
Mapenzi yanauma aisee basi tu..
 
Mapenzi kitu nyoko sana , Samson alisanda ajili yake
 
Pole mkuu! Kwani rafiki yako alifahamu nia yako kwa huyo mdada? Kama alifahamu na akaendelea, si rafiki mzuri huyo na wala usimwachie chochote.
Jifunze ulipokosea na usonge mbele.
Ila, Miaka sita mkuu? Huyo mwanamke anataga dhahabu ama? Jiongeze na tafuta msichana mwingine.
 
Sawa! Lakini sio rahisi kama inavyofikiriwa.
 
Frank hajui chochote kinachoendelea kati yangu na wit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…