Mapenzi yanauma nyie

Mapenzi yanauma nyie

Hapa nilipo sijala toka jana! Alinitumia tu meseji
Usinitafute Tena mimi na wewe yameisha nilikuomba hela ya kusuka ukaniambia nikanyoe!

Nimejitahidi kumbembeleza hataki nimemtumia hela ya kusuka kairudisha,katuma na picha yake akiwa kanyoa kipara watu walivyomcheka ndo akaamua kuniacha!

Misukosuko ya kuachana ilianza toka miezi miwili iliyopita kuna muda nilitaka kumuacha kabisa lkn nikarudi nyuma na kugundua bado nampenda Tena penzi motomoto sahivi kaniacha inauma sana nimelia kila chozi lkn haelewi hilo la kipara kalichukuli Kama sababu lakini mzizi wa fitina alinifumaga zamani namla rafikie.

Inauma sana
Hawezi kudate na kinyeramumo kama wewe. Tafta mpenz mpya tu braza.
 
Chukua Ushauri Aliowahi Kuutoa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
"Ukiona mtu hakutaki si unatfta mshkaji mwengine...Sasa we utaendelea kuhangaika kila saa unatuma tuma meseji?"
 
😀😁😂🤣😅😄😃🤣😂😁😀
Huo Huo
Utakaa Unatuma Message Na Tule Tualama Twa Kulia!!!
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
😀😁😂🤣😅😄😃🤣😂😁😀
Huo Huo
Utakaa Unatuma Message Na Tule Tualama Twa Kulia!!!
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Jamaa sijui alikula za uso mahali😂😂😂 inaonekana ana uzoefu na vibuti!
 
Hapa nilipo sijala toka jana! Alinitumia tu meseji
Usinitafute Tena mimi na wewe yameisha nilikuomba hela ya kusuka ukaniambia nikanyoe!

Nimejitahidi kumbembeleza hataki nimemtumia hela ya kusuka kairudisha,katuma na picha yake akiwa kanyoa kipara watu walivyomcheka ndo akaamua kuniacha!

Misukosuko ya kuachana ilianza toka miezi miwili iliyopita kuna muda nilitaka kumuacha kabisa lkn nikarudi nyuma na kugundua bado nampenda Tena penzi motomoto sahivi kaniacha inauma sana nimelia kila chozi lkn haelewi hilo la kipara kalichukuli Kama sababu lakini mzizi wa fitina alinifumaga zamani namla rafikie.

Inauma sana
Ukiwa na mpenzi, uwe teari kuingia gharama zote. Ama sivyo, kuwa single. Wanaume kazi yetu ni kuhudumia wadada. Yani katika uhusiano, mdada ndio anafaidi kifedha. Mwanaume sijui unafaidi status au nini sababu raha za penzi hata yeye anapata. Ngojea wenzako wata-enjoy sasa.
 
Hapa nilipo sijala toka jana! Alinitumia tu meseji
Usinitafute Tena mimi na wewe yameisha nilikuomba hela ya kusuka ukaniambia nikanyoe!

Nimejitahidi kumbembeleza hataki nimemtumia hela ya kusuka kairudisha,katuma na picha yake akiwa kanyoa kipara watu walivyomcheka ndo akaamua kuniacha!

Misukosuko ya kuachana ilianza toka miezi miwili iliyopita kuna muda nilitaka kumuacha kabisa lkn nikarudi nyuma na kugundua bado nampenda Tena penzi motomoto sahivi kaniacha inauma sana nimelia kila chozi lkn haelewi hilo la kipara kalichukuli Kama sababu lakini mzizi wa fitina alinifumaga zamani namla rafikie.

Inauma sana
IMG_20210211_221715_486.jpg
 
Back
Top Bottom