Mapenzi yanauma nyie

Mapenzi yanauma nyie

Lager

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2019
Posts
396
Reaction score
1,090
Hapa nilipo sijala toka jana! Alinitumia tu meseji
Usinitafute Tena mimi na wewe yameisha nilikuomba hela ya kusuka ukaniambia nikanyoe!

Nimejitahidi kumbembeleza hataki nimemtumia hela ya kusuka kairudisha,katuma na picha yake akiwa kanyoa kipara watu walivyomcheka ndo akaamua kuniacha!

Misukosuko ya kuachana ilianza toka miezi miwili iliyopita kuna muda nilitaka kumuacha kabisa lkn nikarudi nyuma na kugundua bado nampenda Tena penzi motomoto sahivi kaniacha inauma sana nimelia kila chozi lkn haelewi hilo la kipara kalichukuli Kama sababu lakini mzizi wa fitina alinifumaga zamani namla rafikie.

Inauma sana
 
Acha tuu nicheke.... Maana sijacheka toka Asubuhi 😂😂😂😂😂😂
 
Kwanini umwambie anyoe? Ubahiri wako umekuponza nibora ungempa ahadi kuliko kumwambia anyoe
 
Hapa nilipo sijala toka jana! Alinitumia tu meseji
Usinitafute Tena mimi na wewe yameisha nilikuomba hela ya kusuka ukaniambia nikanyoe!

Nimejitahidi kumbembeleza hataki nimemtumia hela ya kusuka kairudisha,katuma na picha yake akiwa kanyoa kipara watu walivyomcheka ndo akaamua kuniacha!

Misukosuko ya kuachana ilianza toka miezi miwili iliyopita kuna muda nilitaka kumuacha kabisa lkn nikarudi nyuma na kugundua bado nampenda Tena penzi motomoto sahivi kaniacha inauma sana nimelia kila chozi lkn haelewi hilo la kipara kalichukuli Kama sababu lakini mzizi wa fitina alinifumaga zamani namla rafikie.

Inauma sana
Tuanze na hili. Una umri wa miaka mingapi?
 
Msariti shuruti auwawe. Una sariti vipi mtu na rafiki yake ? Wewe ni wa kupigwa kabisa viboko
 
She's still loving me
Though I caused her so much pain
I've done my share of wrong
My share of wrong
Time and time again

She's still loving me and I can't deny, oh no
Since she's been in my life
In my life, everything's been going fine
And I proudly say to the world, yeah

She's my one and only
I ain't going no where
I ain't gonna leave my lady
She's my one and only
I ain't going no where
I ain't gonna leave my lady

'Cause she's truly mine
And most of what she does
Makes me feel so good inside
Tell the Lord in Zion I said
She's the right one for me
Ya make no mistake
And I say there's no apology

She's still loving me
Through all the trials and pain
Oh, I played around
Still she held it down, yes she did
She's still loving me
Even though I made her cry
Caused her many sleepless nights
And I had to make it right, oh Lord

She's my one and only
I ain't going no where
I ain't gonna leave my lady
She's my one and only
I ain't going no where
I ain't gonna leave my lady

'Cause she's truly mine
And most of what she does
Makes me feel so good inside
Someone tell the Lord for me
Ya make no mistake
When I tell the world there's no apology

She's my one and only
And I ain't going no where
I ain't gonna leave my lady
She's my one and only
I ain't going no where

I ain't gonna leave my lady
She's my one and only
I ain't going no where
I ain't gonna leave my lady
She's my one and only

Songwriters: Morgan Heritage / P Linton
 
inauma sana kwakweli ila time will heal everything..
ili upoe jaribu kumuondoa kila sehem km picha zake au msg na namba yake futa.
maana ukitembelea mua km fimbo iko siku utautafuna tuu
 
Iyo ela aliyo rudisha mtumie mamako kwanza af ndio tukushauri.
 
Chukua Ushauri Aliowahi Kuutoa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Back
Top Bottom