Mapenzi yanauma jamani

Mapenzi yanauma jamani

chapuga

Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
7
Reaction score
1
Nilikuwa na mpenzi wangu kijijini tuliahidiana mengi sana likiwemo kuoana but nilipomaliza chuo na kwa bahati nzuri nikapangiwa kazi kijijin kwao niliyoyakuta sikuamini macho yangu.

Kwanza wakati natoka Dar nikamlipia nauli ili tukutane mjini huku nikiwa na hamu na shauku ya kumuona mpenzi wangu lakini nilishawahi kuambiwa ana jamaa yake mwingine hapo mjini so nlichokifanya ili kujiridhisha kama ni kweli nilmtumia hela apange guest akafanya hvo.

Kisha kunitajia jina la guest na namba ya chumba then ilipofka jioni nikampigia simu na kumtaarifu kuwa siwezi kufika gari limeharibika na nimekosa gari la kuendelea na safari nikamuahidi kuonana nae kesho yake.

Lakin haikuwa kweli nilimdanganya kwani nilikuwa naendelea na safari baada ya taarifa hyo alionesha kusiktaka kidogo kwa kutokufka.kumbe lengo langu ni kutaka kujua je baada ya kunikosa mimi atafanyaje atalala guest peke yake?

Au atampigia huyo jamaa yake wa hapo mjni nikafka mahala guest ilipo na kujionea mwenyew wakifanya yao.iliniuma sana japo sina budi kutafta mwngne wa kuoa ingawa ni kaz ngumu.
 
soma pycology za wanawake halafu ndo umpachike jina mpenz
 
mbona mambo madogo tu hayo?

ila mapenzi ni pata potea, ukipata raha, ukilamba gharasa unajiuguza nafsi siku mbili tatu kisha maisha yanaendelea
 
mbona mambo madogo tu hayo?

ila mapenzi ni pata potea, ukipata raha, ukilamba gharasa unajiuguza nafsi siku mbili tatu kisha maisha yanaendelea

thanks jamaa yangu najkaza kiume malengo yangu yote yamevurugika japo itanibd kujpanga upya watu hawapangi kushndwa ila wanashndwa kupanga!
 
he makubwa ndo walewale unamtega mchumba unajifanya sio ww kupitia namba nyingine harafu unamtongoza haya ss na akikubali pressure
 
kama huna moyo wa chuma acha kutega mitego, utakua unajiumiza bure... mi ngeenda kumchapa nao usiku ule ule mambo ya kutegana sa hizi nehiii!!!
 
Ulitaka kujua ukweli na umeupata, mshukuru Mungu kwa kukusaidia kuujua ukweli maana huyo alikuwa akimliwaza na kumsaidia kifedha wewe ukiwa masomoni na inaonekana amekolea kwake, ila ukae ukijua kumpata bikra ni kazi kweli kweli kama jinsi ambavyo wewe sio bikra.
 
sitafti bikra tena nataka hata used ambaye nae awe alishawah tendwa ili tusijerudia tena makoxa na kuumizana tena
 
Pole sana na shukuru kwamba umeujua ukweli maana ungejipa matumaini kwenye hakuna
 
Xaxa nyie xi mnataka frexh,angalia xaxa na wenzio wamekuonjea..
Uxiwe mxhoyo kizuri kula na nduguyo.
sitafti bikra tena nataka hata used ambaye nae awe alishawah tendwa ili tusijerudia tena makoxa na kuumizana tena
 
Ndo ukomavu huo!jipange upya utampata mwingine
 
Back
Top Bottom