M muafrika08 JF-Expert Member Joined May 22, 2016 Posts 255 Reaction score 104 Jun 8, 2016 #41 gh hussa said: wapi mm naona ni kauli za kujifariji tu unaweza ukapenda na usitoe chozi ukaugulia moyoni Click to expand... Narudia tena hujawahi kupenda na Elewa tunatofautiana
gh hussa said: wapi mm naona ni kauli za kujifariji tu unaweza ukapenda na usitoe chozi ukaugulia moyoni Click to expand... Narudia tena hujawahi kupenda na Elewa tunatofautiana
irk JF-Expert Member Joined Jun 5, 2016 Posts 486 Reaction score 389 Jun 8, 2016 #42 Baada ya kuumizwa na fala mmoja ivi tangia cku hiyo mguu moja nje mwingine ndani. Ila kila lenye mwanzo lina mwisho wake. Pole dogo ndo ukubwa huo
Baada ya kuumizwa na fala mmoja ivi tangia cku hiyo mguu moja nje mwingine ndani. Ila kila lenye mwanzo lina mwisho wake. Pole dogo ndo ukubwa huo
La Pronto JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 975 Reaction score 1,164 Jun 8, 2016 #43 Ila ukifikiria sana unagundua maisha bila kufall in love na kuumia ni kama kutakua na kitu kinamiss hivi!
Ila ukifikiria sana unagundua maisha bila kufall in love na kuumia ni kama kutakua na kitu kinamiss hivi!
babyclassic JF-Expert Member Joined May 22, 2015 Posts 227 Reaction score 39 Jun 10, 2016 #44 Pole sanaa cha msingi tafuta helaaa tuu mapenz peleka kwa kaz yakoo
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 19,198 Reaction score 34,405 Jun 10, 2016 #45 ha ha haa! nayo machoz in love ni mautamu like Korean love series!
A Alkarima JF-Expert Member Joined Mar 27, 2016 Posts 223 Reaction score 174 Jun 10, 2016 #46 SHABANIMAVOCHA said: Ukweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende Click to expand... Mavochaaaaaa
SHABANIMAVOCHA said: Ukweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende Click to expand... Mavochaaaaaa
A Alkarima JF-Expert Member Joined Mar 27, 2016 Posts 223 Reaction score 174 Jun 10, 2016 #47 Ukimaliza kulia utakuwa mwanaume sasa, maana ulikuwa mvulana
Polisi jamii JF-Expert Member Joined Mar 22, 2013 Posts 2,604 Reaction score 1,385 Jun 10, 2016 #48 UPUMBAVU HUO NILIDHANI UMEIBIWA HELA UNALIA KWASABABU YA MWANAMKE BOYA SANA WEWE JAMAA
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,712 Jun 10, 2016 #49 Polisi jamii said: UPUMBAVU HUO NILIDHANI UMEIBIWA HELA UNALIA KWASABABU YA MWANAMKE BOYA SANA WEWE JAMAA Click to expand... Na kwanini asilie sababu ya mwanamke? Khaaaa
Polisi jamii said: UPUMBAVU HUO NILIDHANI UMEIBIWA HELA UNALIA KWASABABU YA MWANAMKE BOYA SANA WEWE JAMAA Click to expand... Na kwanini asilie sababu ya mwanamke? Khaaaa
Polisi jamii JF-Expert Member Joined Mar 22, 2013 Posts 2,604 Reaction score 1,385 Jun 10, 2016 #50 Heart said: Na kwanini asilie sababu ya mwanamke? Khaaaa Click to expand... ni ukosefu wa akili mwanaume ukalia kisa mwanamke hata kwao watamuona bwege
Heart said: Na kwanini asilie sababu ya mwanamke? Khaaaa Click to expand... ni ukosefu wa akili mwanaume ukalia kisa mwanamke hata kwao watamuona bwege
S SHABANIMAVOCHA JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 320 Reaction score 65 Jun 11, 2016 Thread starter #51 Dug Polisi jamii said: ni ukosefu wa akili mwanaume ukalia kisa mwanamke hata kwao watamuona bwege Click to expand... Hata mm zaman nilikuwa nasema hvyo hvyo ila kuna wazee walionya sna na wakaniambia hakuna mjanja kwenye mapenz ila ss hv nimethibitsha na ww endelea kubeza tu watu walio athilika katk mapenz ila kama mwanaume ulie timia bac ipo cku yatakukuta
Dug Polisi jamii said: ni ukosefu wa akili mwanaume ukalia kisa mwanamke hata kwao watamuona bwege Click to expand... Hata mm zaman nilikuwa nasema hvyo hvyo ila kuna wazee walionya sna na wakaniambia hakuna mjanja kwenye mapenz ila ss hv nimethibitsha na ww endelea kubeza tu watu walio athilika katk mapenz ila kama mwanaume ulie timia bac ipo cku yatakukuta
S SHABANIMAVOCHA JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 320 Reaction score 65 Jun 11, 2016 Thread starter #52 peterchoka said: duh! washammegea., Click to expand... Cjasibitisha ila now nakatiwa cm na kuwekwa black list
peterchoka said: duh! washammegea., Click to expand... Cjasibitisha ila now nakatiwa cm na kuwekwa black list
S SHABANIMAVOCHA JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 320 Reaction score 65 Jun 11, 2016 Thread starter #53 Behaviourist said: Wewe ni jinsia gani??? Kama ni me bila chenga utakuwa ni mwanaume wa Dar! Click to expand... Nikweli me nipo dah! Kwa hyo wanaume wa dar ndo tunaongoza kwa kutendwa?
Behaviourist said: Wewe ni jinsia gani??? Kama ni me bila chenga utakuwa ni mwanaume wa Dar! Click to expand... Nikweli me nipo dah! Kwa hyo wanaume wa dar ndo tunaongoza kwa kutendwa?
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Jun 11, 2016 #54 Pamoja na majaribu yake kupenda na kupendwa raha sanaaaaaa. Pole sana. SHABANIMAVOCHA said: Ukweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende Click to expand...
Pamoja na majaribu yake kupenda na kupendwa raha sanaaaaaa. Pole sana. SHABANIMAVOCHA said: Ukweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende Click to expand...
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,943 Reaction score 23,884 Jun 11, 2016 #55 Mapenzi yanawatesa sana... poleni.
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,424 Jun 11, 2016 #56 SHABANIMAVOCHA said: Cjasibitisha ila now nakatiwa cm na kuwekwa black list Click to expand... kwahiyo sasa umeamuaje?
SHABANIMAVOCHA said: Cjasibitisha ila now nakatiwa cm na kuwekwa black list Click to expand... kwahiyo sasa umeamuaje?
S SHABANIMAVOCHA JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 320 Reaction score 65 Jun 11, 2016 Thread starter #57 M Sumu said: Nimecheka badala ya kukuonea huruma. Click to expand... Mkuu kwa nn umenicheka
habari ya hapa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 12,789 Reaction score 8,752 Jun 11, 2016 #58 Ha ha ha ha ukiona manyoya ujue kaliwaaaaa
S SHABANIMAVOCHA JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 320 Reaction score 65 Jun 11, 2016 Thread starter #59 Horseshoe Arch said: Si uachane nayo? Kwani mmefungwa nira nayo? Click to expand... Mkuu sio rahis hvyo
Horseshoe Arch said: Si uachane nayo? Kwani mmefungwa nira nayo? Click to expand... Mkuu sio rahis hvyo
KACHINJA JF-Expert Member Joined Dec 26, 2015 Posts 1,263 Reaction score 870 Jun 11, 2016 #60 SHABANIMAVOCHA said: Ukweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende Click to expand... Unaliaje wakat siku hizi unakamata yeyote
SHABANIMAVOCHA said: Ukweli ni kwamba toka nifikishe miaka 18 cjawah kulia ila leo ndo imetokea hvyo coz ya mapenz ndug kama hujawah kupenda bac me ckushaur upende Click to expand... Unaliaje wakat siku hizi unakamata yeyote