Polee mkuu,nakumbuka ilinitokea tar 21/12/2015...nililia saaana kama mtoto mdogo.yaan wiki nzma ckuweza kulala vizur wala kula vizur.ila Mungu ni mwema,,,,
Huyu jamaa hajui mapenzi ni nini. Na akija kujua asingefanya hivyo. Imenikumbusha enzi hizo ndo tuaanza kuingia ulimwengu wa mapenzi kiutoto utoto, yaani feelings zoooooote, ucku mtu analala anamuwaza binti mrembo flani hadi usingizi unakatika. 80% ya ubongo imetawaliwa na sexual feelings. Kipindi kibaya sana kile especially kipindi cha sekondari na advanced hapo. Ujinga mwingi, ilishawahi kunitokeaga hivyo ila mpaka leo najishangaa ilikuwaje. Yaani ratiba ya siku nzima inapotea kwa kumsaka demu flani na unadhani bila yeye wewe hujakamilika. Nonsense.
Siku hizi kwanza nashangaa wanajileta wenyewe tu mpaka unakwepa maana wanakuwa kero