Mapenzi yanahusisha 100% ubungo. Umewahi jiuliza kwanini baada ya kufanya mapenzi unapata usingizi wa ajabu ?
Hii ni kwa sababu ubongo unakua umetumika sana kiasi kutokua na uwezo wa kuuhudumia mwili.
Wanaume ambao hawafanyi mapenzi huwa wanakua na nguvu kiakili kuliko wanao fanya mapenzi
Kutokana na hivyo wanaume wanao fanya mapenzi huzeeka mapema kutokana na ubongo wao kupunguza uwezo wa kuhudumia mwili.
Mapenzi yanachosha akili kuliko mwili.
Unge-ambatisha na reference juu ya hii Topic yako inge leta mantiki sana ---Huo ndio ukweli
Unge-ambatisha na reference juu ya hii Topic yako inge leta mantiki sana ---
Hiki unacho kisema kwa upande fulani kina ukweli -ndio maana tunaona ma -Padre wakiwa Wanaishi miaka mingi sana --kwa sababu hawaoi -so hata kama huwa wanafanya ngono huwa ni kwa kificho sana --hali hiyo hupelekea kwa wao kujikuta wa kifanya ngono Mara chache tofauti na mtu mwingine ambaye anaishi maisha ya kawaida
Si kweli.Hili suala si dogo kama unavyolielezea. Huwezi kumpima padre kwa kigezo hiki cha kufanya mapenzi pekee.Kwanza ni jambo linalohitaji utafiti wa kina,maana maisha ya binadamu hutawaliwa na mambo mengi. Unajua changamoto anazokutana nazo mtu mwenye mke/familia ukilinganisha na asiyekuwa na mke? Kuanza kufikiria familia itakula nini,wamevaa nini,wamesoma wapi n.k.,jumlisha aina ya maisha unayoishi na mwanamke wako,huenda maisha ni full stress.Hii ni mifano tu, kuna maelfu ya vitu vinavyoweza kuingilia mfumo wa akili na kuathiri maisha ya mtu na pengine hata kufupisha maisha.
Zingatia
Kama nilivyosema,suala hili ni tata, halina majibu ya moja kwa moja.Kutokuwa na mke se guarantee ya mtu kuishi muda mrefu,bado itategemea unaishi vip.Yawezekana huna mke au familia na bado ukawa na majukumu mengi kuliko hata mwenye mke na watoto.Au kama wewe ni mlevi kupindukia,huna uhakika wa kula na pa kulala,bado itakuwa ni tatizo.Hapa aliyeoa na kuwa na maisha bora atakuwa vizuri kushinda wewe usiyeoa.
Kwa kifupi tusiongee mambo yanayohitaji utafiti kirahisi hivi wandugu.Mambo haya ni tata,hayana jibu moja.
Mapenzi yanahusisha 100% ubungo. Umewahi jiuliza kwanini baada ya kufanya mapenzi unapata usingizi wa ajabu ?
Hii ni kwa sababu ubongo unakua umetumika sana kiasi kutokua na uwezo wa kuuhudumia mwili.
Wanaume ambao hawafanyi mapenzi huwa wanakua na nguvu kiakili kuliko wanao fanya mapenzi
Kutokana na hivyo wanaume wanao fanya mapenzi huzeeka mapema kutokana na ubongo wao kupunguza uwezo wa kuhudumia mwili.
Mapenzi yanachosha akili kuliko mwili.
Kuna kaukweli fulani kwa mbali.
Ngoja nitafanya kautafiti juu ya Jogoo kwa sababu yeye katika mambo hayo hajambo kwani kila akiona "demu" mpya anaye.
Jogoo hadi manyoya huwa yananyonyoka.. baada ya muda anakua ni wa kukaa kivulini tuu hata kuwika ni kwa shida.
Mapenzi yanahusisha 100% ubongo. Umewahi jiuliza kwanini baada ya kufanya mapenzi unapata usingizi wa ajabu ?
Hii ni kwa sababu ubongo unakua umetumika sana kiasi kutokua na uwezo wa kuuhudumia mwili.
Wanaume ambao hawafanyi mapenzi huwa wanakua na nguvu kiakili kuliko wanao fanya mapenzi
Kutokana na hivyo wanaume wanao fanya mapenzi huzeeka mapema kutokana na ubongo wao kupunguza uwezo wa kuhudumia mwili.
Mapenzi yanachosha akili kuliko mwili.
Mapenzi yanahusisha 100% ubongo. Umewahi jiuliza kwanini baada ya kufanya mapenzi unapata usingizi wa ajabu ?
Hii ni kwa sababu ubongo unakua umetumika sana kiasi kutokua na uwezo wa kuuhudumia mwili.
Wanaume ambao hawafanyi mapenzi huwa wanakua na nguvu kiakili kuliko wanao fanya mapenzi
Kutokana na hivyo wanaume wanao fanya mapenzi huzeeka mapema kutokana na ubongo wao kupunguza uwezo wa kuhudumia mwili.
Mapenzi yanachosha akili kuliko mwili.
Asante kwa mawazo,ila wacha tu tuzeeke mapema...Mapenzi yanahusisha 100% ubongo. Umewahi jiuliza kwanini baada ya kufanya mapenzi unapata usingizi wa ajabu ?