Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 636
- 1,115
- Thread starter
-
- #101
Nlikua namuangalia Chris Mauki jana akiwa na wanachuo akiwapa mawili matatu tibisii.
Alichonikosha aliwafundisha kua wanatakuwa kuwa na Focus.
Wewe hadi umefika chuo hapo Focus yako ni Elimu ya kozi uliyoendea au Mapenzi!!?
Endelea na Focus yako as long as unaona itakutoa hapo ulipo na kukupeleka mbele zaidi.
Au nasema uongo ndugu zangu!!!?
Hiyo ni mechi kijana kwaiyo atakae cheza mechi vizuri ndie mshindi hapo sasa we laza damu tuHabari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.
Nisipoteze Muda iko hivi
Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.
Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .
Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.
Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).
Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.
Jf is my home where I can get every advice I need.
Haki ya Mungu nashindwa hata nisemeje. Yaani mwanamke akuoendaye kwa dhati akubali uwe na mwanamke mwingine? Duh, umerogwa wewe sio mzima yaani unajua kabisa una share na jamaa bado unataka future na huyo kaha. baAlishaniambia hana shida
Hata mimi nilipokuwa bado mdogo kama wewe nilikuwaga naamini kwamba msichana akilia machozi anamaanisha ndo anasema ukweli kwa asilimia zote kumbe...
Una fahamu nini kuhusu value rentation fee ya 6% pa juu ya mkopo wa kutoka Bodi ya mikopo ya elimu ya juu?Habari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.
Nisipoteze Muda iko hivi
Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.
Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .
Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.
Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).
Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.
Jf is my home where I can get every advice I need.
Kuwa makini wachache sana ndo wanalia kikweli wengi wanalia unafki apate tu kitu flani
Ndio nimeenda kusoma
But umri unasogea
Shule kwanza, wewe endelea kupiga mzigo kama vile hamnakinachoendelea, ukiwekeza sana mapenzi ufaulu wako unadorora, hvyo komaa na shule ukiwa nahamu na game naye kapige full stop " Make her a friend to you so as to continue to https://jamii.app/JFUserGuide her"Habari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.
Nisipoteze Muda iko hivi
Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.
Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .
Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.
Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).
Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.
Jf is my home where I can get every advice I need.
Hapo jibu rahisi sana, jambo liki kusumbua achana nalo, sababu mapenzi si chakula useme usipokuwa na mpenzi unakufa au unadhurika, tena ukizingatia mapenzi nje ya ndoa, achaneni nayo kabisa (Mimi ni katika wale ambao nawaombea mabaya zaidi yaani yawatese sana, kama hamtaki kuoana) , muda ukifika oeni vijana.Habari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.
Nisipoteze Muda iko hivi
Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.
Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .
Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.
Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).
Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.
Jf is my home where I can get every advice I need.
Believe thisHabari yenu wana jamvi!

Mwanamke akilia kuna vitu viwili amefirahi kifani au amechukia kifaniNimejaribu kumwambia tuachane
Amelia mbele yangu kuwa hayuko tayali kwa Hilo
& Amesisitiza nisiombe ushauri kokote make anajua watanishauri vibaya

Cha kushangaza kanambia Mimi ndo nimemkuta jamaa
Ila we una mapungufu sana.Jjzi kaninyima mzigo(papuchi)
Kisa anaenda likizo
Hataki Jamaa ake ajue Kama amefanya
(Ameji-isolate for one week) amtunzie Jamaa ake genye
I'll asigundulike