Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

mtamba b

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
236
500
Nlikua namuangalia Chris Mauki jana akiwa na wanachuo akiwapa mawili matatu tibisii.

Alichonikosha aliwafundisha kua wanatakuwa kuwa na Focus.

Wewe hadi umefika chuo hapo Focus yako ni Elimu ya kozi uliyoendea au Mapenzi!!?

Endelea na Focus yako as long as unaona itakutoa hapo ulipo na kukupeleka mbele zaidi.

Au nasema uongo ndugu zangu!!!?
sawa bn
Mitano Tena
 
cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
3,190
2,000
Habari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.

Nisipoteze Muda iko hivi

Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.

Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .

Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.

Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).

Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.

Jf is my home where I can get every advice I need.
Hiyo ni mechi kijana kwaiyo atakae cheza mechi vizuri ndie mshindi hapo sasa we laza damu tu
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,801
2,000
Alishaniambia hana shida
Haki ya Mungu nashindwa hata nisemeje. Yaani mwanamke akuoendaye kwa dhati akubali uwe na mwanamke mwingine? Duh, umerogwa wewe sio mzima yaani unajua kabisa una share na jamaa bado unataka future na huyo kaha. ba
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
1,995
2,000
Habari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.

Nisipoteze Muda iko hivi

Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.

Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .

Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.

Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).

Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.

Jf is my home where I can get every advice I need.
Una fahamu nini kuhusu value rentation fee ya 6% pa juu ya mkopo wa kutoka Bodi ya mikopo ya elimu ya juu?

We endelea kuutumia vibaya,soon utaelewa tuu.
 
Bazillion

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
212
250
Umeingilia mapenz ya watu ww mwenzako yupo nae toka shule ya msingi ww umekutana nae chuo unajikuta ume fall love,
 
cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
3,190
2,000
Kuwa makini wachache sana ndo wanalia kikweli wengi wanalia unafki apate tu kitu flani
nimekumbuka siku moja nimepiga sound demu a kaja home nikampeleka mpaka chumbani bwana wee akagoma kumvua sketi nikawaza nifanyeje hapa wazo la kulia likaja mzee mzima kila nikitafuta chozi wapi nikasema ngoja nikumbuke marehem wote nayo hola mamaeee nikasema shetani unavisa sana potelea mbali uchawi haendi kwa mentali kesho nayo siku... na ikumbukwe hapo demu alikuwa anasubiria nilie kweli
 
Wil2018

Member
May 25, 2019
38
125
Habari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.

Nisipoteze Muda iko hivi

Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.

Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .

Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.

Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).

Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.

Jf is my home where I can get every advice I need.
Shule kwanza, wewe endelea kupiga mzigo kama vile hamnakinachoendelea, ukiwekeza sana mapenzi ufaulu wako unadorora, hvyo komaa na shule ukiwa nahamu na game naye kapige full stop " Make her a friend to you so as to continue to https://jamii.app/JFUserGuide her"
 
Mubarridi

JF-Expert Member
Apr 6, 2018
21,522
2,000
Habari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.

Nisipoteze Muda iko hivi

Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.

Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .

Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.

Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).

Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.

Jf is my home where I can get every advice I need.
Hapo jibu rahisi sana, jambo liki kusumbua achana nalo, sababu mapenzi si chakula useme usipokuwa na mpenzi unakufa au unadhurika, tena ukizingatia mapenzi nje ya ndoa, achaneni nayo kabisa (Mimi ni katika wale ambao nawaombea mabaya zaidi yaani yawatese sana, kama hamtaki kuoana) , muda ukifika oeni vijana.
 
Baikije

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
533
998
Hadi hili unahitaji ushauri aisee basi elimu yako haijakukomboa kwa lolote na wanaokusomesha wametupa fedha zao kwa mpuuzi mmoja asiejielewa, kiufupi achana na hiyo jike inakupotezea muda maana yenyewe imetega pande mbili ili isikose kabisa so kwa utamaduni wetu hakufai huyo manzi
 
Nkolandoto

JF-Expert Member
Sep 18, 2016
3,298
2,000
Habari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.

Nisipoteze Muda iko hivi

Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.

Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .

Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.

Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).

Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.

Jf is my home where I can get every advice I need.
Believe this
Mwanamke huwa anapenda sana vitu vyepesi ambavyo haviumizi, huwa analazimika kupenda viumizavyo kwa sababu tu mbele itakuwaje

Mtu asiyekuwa na lengo na mwanamke, mwanamke humpenda kwa sababu wakikutana hakuna kuumiza kichwa ni furaha na mizaha na kuchemsha msosi sasa upande wako ambaye unafuture naye lzm akutanipo na ww akili lzm ifanye kazi na akili ya mwanamke ikifanya kazi tu hisia zinakufa

Kama jinsi mwanaume alivyo akili yako ikianza kufanya kazi vyema hisia zinapotea kabisa

Ili amuache labda jamaa aamue lkn siyo mwanamke wako

Kupunguza tu asichepuke mara kwa mara act like the man zifanye hisia zake ziamke mara kwa mara kwako

Harafu usimtwishe sana kufikiria future au mtwishwe future nzito iue kbs hisia zake
 
Nkolandoto

JF-Expert Member
Sep 18, 2016
3,298
2,000
Nimejaribu kumwambia tuachane

Amelia mbele yangu kuwa hayuko tayali kwa Hilo
& Amesisitiza nisiombe ushauri kokote make anajua watanishauri vibaya
Mwanamke akilia kuna vitu viwili amefirahi kifani au amechukia kifani

Sasa basi tendo la kulia huwa fake au halisia

Hii humaanisha kafikia kilele wanawake wana vilele vingi akilia jua umemfikisha kunako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom