Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

Nimesoma comments zote
namaliza kwa kusema hivi Chuo kimekusaidiaje katika kutoa maamuzi !!?
hapo upo dhaifu sana kwake cha kufanya tu MPE MIMBA alfu agiza popcorn jilie endeleza msur si utkai kumwacha bana
chuo mpo kwa miaka 3 wakitaani huko yuko nae since day hizo alfu unajifanya unamapenzi mkolezo
piga mimba subili mtoto wakitaani atapoteza kama wew ndio umeingilia tafuta pisi lako lingine bang nalo kisela
ushauli tulio kupa ndio alio ukataa yeye kma unashikiwa kichwa its oky KIZURI KULA NA NDUGUYO SASA

CASE CLOSED
 
Nimejaribu kumwambia tuachane

Amelia mbele yangu kuwa hayuko tayali kwa Hilo
& Amesisitiza nisiombe ushauri kokote make anajua watanishauri vibaya
Ila mwanangu unakichwa kakwambia usiombe ushauli na umeomba

mkirudiana useme JF walichangia katika maamuzi
 
Habari yenu wana jamvi!
Natumai mu wazima wa afya.

Nisipoteze Muda iko hivi

Kuna binti mmoja hapa chuoni niko Nae kwenye mahusiano kwa miezi 6 sasa
Ninampenda & analifahamu Hilo.

Ndo niliepanga toka awali awe Mama watoto (Kama Mungu atabariki) .

Nimekuja kugundua Yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine huko kwao.

Nimembana amenambia kila kitu na amesisitiza nisimuache kwani ananipenda sana.
Nimemuomba aachane na huyo Jamaa Kama kweli ananipenda ila amesema na yeye anampenda pia.
Nimemuuliza Kama ana future nae
Kaniambia anaona future pande zote( kwetu wote).

Hebu nisaidieni wakubwa
Make Niko njia panda
Kumpenda nampenda sana.

Jf is my home where I can get every advice I need.
Mzee huyo hawapend nyinyi nyote kwako kuna kitu ana gain na kwa huyo mshikaj kipo anacho gain inshort anacheza na akil zenu..Ila kam vp ishi nae lakin future haipo apo bro
 
Huyo manzi janja sana anataka akiwa chuo apate wa kumpiga ukuni na akirudi kijijini kwao likizo apate wa kumpiga ukuni halafu wewe utulie usilete wivu wala kumfatilia
 
Kuna uwezekano huyo wa nyumbani tayari wana attachment nae zaidi hata na mtoto wamezaa ila ndio umefichwa..
 
Nimesoma comments zote
namaliza kwa kusema hivi Chuo kimekusaidiaje katika kutoa maamuzi !!?
hapo upo dhaifu sana kwake cha kufanya tu MPE MIMBA alfu agiza popcorn jilie endeleza msur si utkai kumwacha bana
chuo mpo kwa miaka 3 wakitaani huko yuko nae since day hizo alfu unajifanya unamapenzi mkolezo
piga mimba subili mtoto wakitaani atapoteza kama wew ndio umeingilia tafuta pisi lako lingine bang nalo kisela
ushauli tulio kupa ndio alio ukataa yeye kma unashikiwa kichwa its oky KIZURI KULA NA NDUGUYO SASA

CASE CLOSED
Nina wivu Sana mkuu
 
Back
Top Bottom