Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 636
- 1,115
- Thread starter
- #101
sawa bnNlikua namuangalia Chris Mauki jana akiwa na wanachuo akiwapa mawili matatu tibisii.
Alichonikosha aliwafundisha kua wanatakuwa kuwa na Focus.
Wewe hadi umefika chuo hapo Focus yako ni Elimu ya kozi uliyoendea au Mapenzi!!?
Endelea na Focus yako as long as unaona itakutoa hapo ulipo na kukupeleka mbele zaidi.
Au nasema uongo ndugu zangu!!!?
Mitano Tena