eeeh,hivi kuview-status nayo ni ishu?interesting....siangalii status ya yeyote na wala sijui inawekwajeUkitaka mapenzi uyashinde mbomoe mpenzi wako kisaikolojia asijione wa maana. Siku moja moja simu usipokee kwa muda, status usi-view, foka, hapo utamteka.
Mnaonewa kwa sababu mnaonesha kupenda sana. Mapenzi yanataka ujeuri.
huo ujinga mfanyie mwanamke ambaye mizani ya mapenzi imeelemea upande wake, yaani anakupenda kuliko unavompenda, ila kama mzani umelalia kwako usithubutu unaachwa kesho yake.
Mbona umecheka mkuu?
hahahahaha sawa mkuuNa siku zote ieleweke hamnaga mtu ambaye hana akili alafu ana hela,sijawahi kuona kichaa ana hela,hivyo kifupi akili tunayoambiwa ni hela,ishi nao kwa hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenichekesha sana ulichoandika.Mbona umecheka mkuu?
Una umri gani?Ukitaka mapenzi uyashinde mbomoe mpenzi wako kisaikolojia asijione wa maana. Siku moja moja simu usipokee kwa muda, status usi-view, foka, hapo utamteka.
Mnaonewa kwa sababu mnaonesha kupenda sana. Mapenzi yanataka ujeuri.
Okey, Stay blessed.
Kwanini umuonyeshe mpenzi wako jeuri??Ili hii nadharia yako iweze Ku work out ni.lazima Kwanza umuonyeshe kumpenda Sana kupita kiasi .. siku ukionyesha jeuri it makes a lot of sense
Muulize mwenye Uzi. Mimi mchangiaji TuKwanini umuonyeshe mpenzi wako jeuri??
Yaani unamuonyesha jeuri ili nini kiwe??
Sent using Jamii Forums mobile app
. πππMapenzi yamezaliwa Hindia Mumbai kwenye majani ...alafu yamemshinda Shalukani .....Je? We mbongo wa Buguruni utayaweza.
ππHuo ujinga mfanyie mpenzi ambaye mizani ya mapenzi imeelemea upande wake, yaani anakupenda kuliko unavompenda, ila kama mzani umelalia kwako usithubutu unaachwa kesho yake.
Hahaaa nimecheka kisukuma...point sana hii mleta mada ichukue utamshukuru Einstein siku mojaHuo ujinga mfanyie mpenzi ambaye mizani ya mapenzi imeelemea upande wake, yaani anakupenda kuliko unavompenda, ila kama mzani umelalia kwako usithubutu unaachwa kesho yake.
Mtotot huyu, akiwelewa ujinga huu hafanyiHahaaa nimecheka kisukuma...point sana hii mleta mada ichukue utamshukuru Einstein siku moja
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
NakubaliIli hii nadharia yako iweze Ku work out ni.lazima Kwanza umuonyeshe kumpenda Sana kupita kiasi .. siku ukionyesha jeuri it makes a lot of sense
Yes naungana na wewe. Na some factors behind lazima ziwepo! Uwe na jeuri ya money kidogo, angalau na kamvuto kama kapo, atatamani dunia ipasuke
Ila ukijifanya unamgomea then upo upo tuu,yeye ndio kwanzaa anakunywa mtindi
Sent using Jamii Forums mobile app