Mapenzi yanataka kunichanganya, nahisi kuwapenda sawa waawake wanne

IST 4 kwa bajeti ya minimum million 10@1 ni sawa na million 40. Hongera mkuu
 
Kwa nature ya aka yako wewe ni dogo flan hivi team dimond, bila shaka utakua na vile vinywele vichafu sijui ndio vidredi mnaita, hauna salio ila unaungaunga sana ili uonekane zipo na maisha ya kuingiaza na ya ndoto na kujiona staa sana.

Kiufupi hao madem huna na hizo hela ni ndoto so amka ukakojoe tusichoshane
 
Nashindwa nikushauri nini Ila nakuonea huruma manake inaonekana umri wako ni mkubwa kuliko mimi lakini unaendekeza utoto
Kumbe Kuna uwezekano mtu kuwa na Pesa za kununua IST 4 na bado akili puje
Nimekadiria mleta mada Ni mkubwa zaidi yangu kwa umri kwa sababu ya financial details alizotoa. Mimi Ni around 25 wakati nakadiria mleta mada Ni around 40
Kwani una nifahamu mkuu,mbona comment zako zimejaa chuki na wivu na nili yategemea haya kwa baadhi yenu wabongo
 
Kwa nature ya aka yako wewe ni dogo flan hivi team dimond, bila shaka utakua na vile vinywele vichafu sijui ndio vidredi mnaita, hauna salio ila unaungaunga sana ili uonekane zipo na maisha ya kuingiaza na ya ndoto na kujiona staa sana.

Kiufupi hao madem huna na hizo hela ni ndoto so amka ukakojoe tusichoshane
Nakubaliana na wewe haya ni mawazo tu pia nime yaheshimu ..nakuombea na wewe soon upate pesa usione maisha mengine kama ndoto ...

Tu deal na topic
 
Mods mme badilisha heading yangu .Mimi nme ishia kwenye (Mapenzi yanataka kuni changanya ) nyie mme ongezea ya kwenu mbele tena kwa kiswahiĺi kibovu mna taka nini
 
Unakuta jamaa yupo ghetto katandika kigodoro chake chini, ana smartphones mbili, Tecno na yule mwenzie (sio Davido lakini, lol) kiredio kinaimba love songs,

Anatupa hadithi ya kufikirika.
😂😂😂😂
 
Vigari gani hivo vya mawazo. Kwanzaa tudogo htn heshima mbele za watu, ukienda nako harusini msibani mbaya zaidi kanisani hakaonekani, kinazibwa na mi prado maksudi tu, ukitaka kuondoka baada ya ibada walishakuziba maksudi, had uwatafute! Na kujifanya hawakujua. Ok! daladala wanakufanya target ukikosea brbani wanakukwaruza maksudi ulipe, naona huna uzoefu na ya barabarani. siku wakivitelekeza usije humu kulialia.
 
we nunu hiyo ist ukute njemba mmoja ndo inaiendesha...nakuapia huwezi kumnyanganya...!!
hivi viumbe vya kike unaweza jiona uko peke yako na ukajirithisha kumbe wanajua wenyewe kwenye akili zao ..
bro Fanya uamuzi sahihi chagua mmoja fungal ndoa japoo roho itaumaa ilaa nakuhakikishia utapata amanii ya ajabu na unaweza kuknunu lia hiyo wife ulie mchagua hats range ..
 
Story iko hivi nipo kwenye relationship na 4 girls, wa tatu (3) nilikutana nao kipindi kimoja 3 years ago hawajapishana sana miezi kwenye mahusiano na huyu mmoja nimempata 6 month ago kila mmoja nilimpata kwa style yake ,

But tatizo ni kwamba wote nahisi kuwapenda sawa kwa sababu kila mmoja ana taste yake na wote nipo nao kwenye serious relationship na wote nawapa na kuwahudumia sawa. Nikiwa na huyu nahisi kumpenda zaidi ya wengine, lakini nikiwa na mwingine pia nahisi kumpenda zaidi ya mwenzake jambo linalofanya nisielewe .

Kitabia wako vizuri wanafaa kua wife wote hawa pishani sana maana ni kama wana endana kwa sababu ni nature ya girls nnao wapenda niki kosana na mmoja japo takua na wengine lakini effects nazi feel kabsa najiona furaha yangu aija kamilika ,

Na wote hawajuani japo wanahisiana tu. Kila mmoja anahisi hayuko peke yake. Nimeshindwa kujua nimwache nani, natamani kuoa wote wa 4 lakini kila mmoja nikijarbu kuchomekea hiyo story hataki kabisaa.

Kipesa nashukuru Mungu hamna tatizo kabisa, hamna nachoshindwa kufanya na nna mpango wa kuwa nunulia vi IST wote wa 4 Leo nimekaa nkatafakari nikahisi nachanganyikiwa
Ebu tuwekee picha kwanza tupate ushahidi
 
Nakuambia tu kuwa wanajua njama zako na wapo hapo kimaslahi tuuu, Kuna siku utasikia wanaoelewa mmoja mmoja we nunua tu IST afu ukifa mapema utaanza kulalamika.
 
we nunu hiyo ist ukute njemba mmoja ndo inaiendesha...nakuapia huwezi kumnyanganya...!!
hivi viumbe vya kike unaweza jiona uko peke yako na ukajirithisha kumbe wanajua wenyewe kwenye akili zao ..
bro Fanya uamuzi sahihi chagua mmoja fungal ndoa japoo roho itaumaa ilaa nakuhakikishia utapata amanii ya ajabu na unaweza kuknunu lia hiyo wife ulie mchagua hats range ..
Perfect, anajidanganya tuu
 
Story iko hivi nipo kwenye relationship na 4 girls, wa tatu (3) nilikutana nao kipindi kimoja 3 years ago hawajapishana sana miezi kwenye mahusiano na huyu mmoja nimempata 6 month ago kila mmoja nilimpata kwa style yake ,

But tatizo ni kwamba wote nahisi kuwapenda sawa kwa sababu kila mmoja ana taste yake na wote nipo nao kwenye serious relationship na wote nawapa na kuwahudumia sawa. Nikiwa na huyu nahisi kumpenda zaidi ya wengine, lakini nikiwa na mwingine pia nahisi kumpenda zaidi ya mwenzake jambo linalofanya nisielewe .

Kitabia wako vizuri wanafaa kua wife wote hawa pishani sana maana ni kama wana endana kwa sababu ni nature ya girls nnao wapenda niki kosana na mmoja japo takua na wengine lakini effects nazi feel kabsa najiona furaha yangu aija kamilika ,

Na wote hawajuani japo wanahisiana tu. Kila mmoja anahisi hayuko peke yake. Nimeshindwa kujua nimwache nani, natamani kuoa wote wa 4 lakini kila mmoja nikijarbu kuchomekea hiyo story hataki kabisaa.

Kipesa nashukuru Mungu hamna tatizo kabisa, hamna nachoshindwa kufanya na nna mpango wa kuwa nunulia vi IST wote wa 4 Leo nimekaa nkatafakari nikahisi nachanganyikiwa
Usikute hii threat uliandika ukiwa na njaa ww...?

Hebu kula kwanza then look kama hayoo mawazoo yateendeleea kichwan mwakoo. 😂😂😂
 
Story iko hivi nipo kwenye relationship na 4 girls, wa tatu (3) nilikutana nao kipindi kimoja 3 years ago hawajapishana sana miezi kwenye mahusiano na huyu mmoja nimempata 6 month ago kila mmoja nilimpata kwa style yake ,

But tatizo ni kwamba wote nahisi kuwapenda sawa kwa sababu kila mmoja ana taste yake na wote nipo nao kwenye serious relationship na wote nawapa na kuwahudumia sawa. Nikiwa na huyu nahisi kumpenda zaidi ya wengine, lakini nikiwa na mwingine pia nahisi kumpenda zaidi ya mwenzake jambo linalofanya nisielewe .

Kitabia wako vizuri wanafaa kua wife wote hawa pishani sana maana ni kama wana endana kwa sababu ni nature ya girls nnao wapenda niki kosana na mmoja japo takua na wengine lakini effects nazi feel kabsa najiona furaha yangu aija kamilika ,

Na wote hawajuani japo wanahisiana tu. Kila mmoja anahisi hayuko peke yake. Nimeshindwa kujua nimwache nani, natamani kuoa wote wa 4 lakini kila mmoja nikijarbu kuchomekea hiyo story hataki kabisaa.

Kipesa nashukuru Mungu hamna tatizo kabisa, hamna nachoshindwa kufanya na nna mpango wa kuwa nunulia vi IST wote wa 4 Leo nimekaa nkatafakari nikahisi nachanganyikiwa
Utoto raha sana,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom