Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,742
- 126,662
Happy holidays mamito...!
Thank u...na kwako pia. Daah ka holiday kadogo ndo kanaishia hivyoo...nimeinjoi kidogo lakini
Happy holidays mamito...!
Kupotezewa muda haina tofauti na kuumizwa..
Ni pale unapowekeza mapenzi yako ya kweli kwa mtu ambae hakuwa tayari kujifunga kwako(commit) na hakuwa na mapenzi ya kweli kwako,bali aliigiza kuwa na mapenzi ya kweli kwako ili apate kitu fulani kutoka kwako....
In short ni pale unapowekeza hisia za kweli kwa MTU atakaekuvunja moyo kwa penzi lake la ulongo
Kwa kweli ata mimi siwaelewi wakinadada juzi tu nmetoka kupiga chini demu wangu mmoja ivi anaanza kulalamika kwamba nimempotezea mda sasa mim siekewi huo mda nimempotezea kivip wakat yeye kwao anafanya mishe zake kama kawaida wadada wamezidi sana waache iyo kauli yao