Mapenzi yanapovunjika mmoja kulalamika amepotezewa mda

Jembemtaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
1,192
Reaction score
929
Binafsi sielewi mtu anapolalama eti nimepotezewa mda na boyfrnd au girlfrnd wangu.

Mpenzi anakupotezeaje mda wakati mnaishi mlikua mnakutana labda mara 2 adi 4 kwa mwezi mzima, kwa sababu wapenzi wengi ukutana mwishoni mwa wiki.

Nijuavyo unapokua na mchumba maisha mengine yanaendelea kama kawaida.
Yaani kama mkulima anaendelea na kilimo, na mfanyakazi anaendelea na kazi na wanaosoma wanaendelea na masomo.

Ingekua unapoingia kwenye mahusiano shughuli zako ulizokua unazifanya unaacha ingekua sahihi kupotezewa mda, lakin kama ulikua unaendelea na mambo yako umepotezewaje mda wako.

Zaman ilikua kwa wadada ndio walalamikaji WA kupotezewa mda lakin siku izi ata wanaume wanalalamika wamepotezewa mda. Sijui ni hasira ya kuachwa.

Na Mara nyingi wanaolalamika kupotezewa mda ndio wale waliokua mzigo kwa wenza wao.

Mdau we unalielewaje hili LA kupotezewa mda.
 
Watu wana timing zao sasa unapobumburuka na kujitoa huwa unakuwa umeharibu mingo walizoset
 
Basi tusiseme kupotezewa muda.
Tuseme kupotezewa nafasi.
Maana unapokua na mtu na kuweka malengo unaziba nafasi ya wengine kuwa nawe ambao labda ndio mngefikia malengo pamoja.
Sasa kafunga milango kwa wale halafu leo baada ya mambo yako kukaa sawa unamuona mzigo.

Akitoka kwako inabidi aanze moja maana ule uhuasiano mliokua nao n i batili mlikua mnaigiza.
Wakati huo kumbe wewe ulishajipanga kwa mwingine.
 
Wengine wanalalamika eti wamechezewa halafu wakaachwa.
 
Basi tusiseme kupotezewa muda.
Tuseme kupotezewa nafasi.
Maana unapokua na mtu na kuweka malengo unaziba nafasi ya wengine kuwa nawe ambao labda ndio mngefikia malengo pamoja.
Sasa kafunga milango kwa wale halafu leo baada ya mambo yako kukaa sawa unamuona mzigo.

Akitoka kwako inabidi aanze moja maana ule uhuasiano mliokua nao n i batili mlikua mnaigiza.
Wakati huo kumbe wewe ulishajipanga kwa mwingine.

Lakin baada ya yeye kutoka si bado nafasi ya watu wengine itakuwepo kwa sababu hakuna kipindi maalum cha kutafutwa. wakati wowote anaweza kujitokeza mpya.
 
Dada unahangaika bure kumuelewwsha huyu si kwamba haelewi ameamua tu kujaza server au kwa vile leo weekend ameamua awe anapotezapoteza muda kuandika humu
 
Lakin baada ya yeye kutoka si bado nafasi ya watu wengine itakuwepo kwa sababu hakuna kipindi maalum cha kutafutwa. wakati wowote anaweza kujitokeza mpya.

Sio kweli na hata wewe roho yako inakushuhudia kwamba ulichoandika hapa hakina ukweli wowote bali ni unafiki mtupu. Sawa zinaweza kuja opportunities lakini si kama zile za mwanzo na bahati mbaya zile za mwanzo hazirudi tena.....
 
Ndio mnapoteza muda...maana you huo muda I could have been busy with someone who deserve it. Jembemtaji
 
Last edited by a moderator:

Sio kwel kwamba opportunities zitokee wakati uko na mtu na mkiachana nazo hazitokei.

Kuna watu waliachwa na baada ya kuachwa ndio wakapata Mme bora au mke bora wa maisha yao.
 
Na kuna wengine walipoteza watu muhimu kwa kung'ang'ania vimeo... Na huyo mme bora kumpata ni lazima nipitie kwa kimeo kwanza kwani siwezi nikakaa nikamsubiria tu?
 
Hauwezi kumjua mwenza kimeo kama haujakaa nae.

Na mpenzi hauwezi kusubir kama mvua za masika lazima uwe unaonjaonja kujua wapi nitatulia.
 
Hiyo ya kuonjaonja si kila mtu anaitaka.....kuna sababu gani kila mahali utakapopita kuna mtu anajua u.chi wako? Sio sifa ni aibu
 
Ndio mnapoteza muda...maana you huo muda I could have been busy with someone who deserve it. Jembemtaji

Una uhakika mda huo ungeweza kua na mtu sahihi zaid ya uyu ulieachana nae.
 
Last edited by a moderator:
Una uhakika mda huo ungeweza kua na mtu sahihi zaid ya uyu ulieachana nae.
Why not....
Mara ngapi umesikia mtu akisema nilikuwa nakupenda kitambo but you are already busy with that looser and I couldn't come forward.
 
Hiyo ya kuonjaonja si kila mtu anaitaka.....kuna sababu gani kila mahali utakapopita kuna mtu anajua u.chi wako? Sio sifa ni aibu

Haujanielewa ckumaanisha ivo, kusaula kwa kila mtu.
Ebu niambie utanjua mtu wakati hauko karibu nae.
 
Back
Top Bottom