Mapenzi yanaponza wengi

Ukisikia Yalaaaaah ujue mtu kapigwa, pole ndo Dunia na wewe tafuta kwa kulipiza.
 
Sasa usikuwote huu, Uzi kama huu usiokuwa na mwisho maana yake nini kama sio anaugulia huko.
Mileta uzi anahitaji faraja tu, kutoka kwa jinsia pendwa....[emoji39] [emoji39]
 
Mileta uzi anahitaji faraja tu, kutoka kwa jinsia pendwa....[emoji39] [emoji39]
Hahahaaaaaa, ndo twamfariji kama hivi, ushaambiwa na wewe tafuta mnyonge............., kulialia kumepitwa na wakati.
 
Bora umejua ila usiache kuufanyia kazi sasa
 
Reactions: BAK
Kuumizwa sijui mwisho wake lini, sahivi bora kuwa single but player!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…