ishu sio kumega,madem wa kumega wapo kila kona,huyu nipo naye more than a year rejea post yangu ya kutafuta mchumba
Ukishamega unaona mko tofauti...!
Wanaume watu wa ajabu sana, sijui mnamatatizo gani?? ningekuwa Mungu mim, mngekoma
Alafu mimi ningekuwa yesu, uwiii wangetafuta pa kujichimbia.
Wanaume watu wa ajabu sana, sijui mnamatatizo gani?? ningekuwa Mungu mim, mngekoma
Si ndio zenu, mkipata chakaramu mwalaumu, sie wapole tena hatufai, basi mjiwowe.
Baada ya kuzunguka huku na kule nilifanikiwa kupata msichana kupitia forum hii ya love connect ofcoz ni msichana mzuri sana na yupo serious na mahusiano tatizo ni kwamba nahisi kama namuonea sababu kuna vitu vingi sana tupo tofauti ila yeye kila mara amekuwa anajitahidi kufuata upande wangu.Nataka kuachana naye lakini siwezi coz hajanikosea chochote halafu na upole wake nafsi inakataa ila tatizo ni kwamba vitu vingi hatuendani.
Naombeni ushauri.
Hata mimi jamani????
Alafu mimi ningekuwa yesu, uwiii wangetafuta pa kujichimbia.
Hahahahaha!!!!!!!! kuumizwa tena khaa!!!!!!!
Wakija watakueleza!
Hey lady mimi sikeri..... Ah! Nmekumbuka, nakera bhanaTungekuwa na kolabo ya ajabu, wangeona mambo ya ajabu hata ya ISIS nafuu.
Wanakera sana hawa watu.
Sipendi kusikia story za kuumizana, ujue kuumizana ndio chanzo cha hasira kuu.
Na ndio chanzo cha kuwaona wanaume wote baba yao mmoja! Ungekuwa hujaumizwa usingesema hivyo naamini!