Mapenzi yananitesa

Blaza Musa

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
28
Reaction score
5
Baada ya kuzunguka huku na kule nilifanikiwa kupata msichana kupitia forum hii ya love connect ofcoz ni msichana mzuri sana na yupo serious na mahusiano tatizo ni kwamba nahisi kama namuonea sababu kuna vitu vingi sana tupo tofauti ila yeye kila mara amekuwa anajitahidi kufuata upande wangu.Nataka kuachana naye lakini siwezi coz hajanikosea chochote halafu na upole wake nafsi inakataa ila tatizo ni kwamba vitu vingi hatuendani.

Naombeni ushauri.
 

Mvumilie tu. Khantwe ndivyo alivyo. Sasa ungekutana na rubii au atoto si ungefungua thread ya kuombea poo???
 
Last edited by a moderator:
Mvumilie tu. Khantwe ndivyo alivyo. Sasa ungekutana na rubii au atoto si ungefungua thread ya kuombea poo???

Hahahahaaaaaa!! Babu Asprin naona ile kampeni yako inaendelea ya kuhakikisha sipati mtu humu ndani! hivi na upole huu bado unanisingizia mazito hivyo!! Muulize hata mdogo wangu Paulo Sergio De Souz atakuambia nilivyo mpole.
 
Last edited by a moderator:
Basi ungeelezea vizuri aina ya mwanamama unayempenda sasa kama chakaramu
 
Mvumilie au umwambie ukweli kuwa huwezi kuendelea naye kwa sababu ulizonazo mwenyewe ila usiendelee kumpotezea wakati.
 
Mvumilie au umwambie ukweli kuwa huwezi kuendelea naye kwa sababu ulizonazo mwenyewe ila usiendelee kumpotezea wakati.


Nishamwambia akasema yupo tayari kuchange as long as yupo na mimi lkn naona itakuwa kama namuonea coz atasacrifice sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…