Mapenzi yananitesa

Mapenzi yananitesa

nyamofu

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
295
Reaction score
75
Habari wanaJF,
Nina mpenzi wangu ambaye kimsingi tunapendana na tumekubaliana kufunga ndoa mwaka huu, na hata amefikia hatua ya kunitambulisha kwao.

Tatizo linaloninyima raha ni yeye kuondoka ama kusafiri bila kunipa taarifa, mara utasikia yupo kigoma kikazi au kafika nyumbani akitokea safari bila ya taarifa yoyote. Mie kwangu inaninyima raha kwani naona ni kama ananikosea sana, nilishamwambia kuhusu hili tatizo na yeye akasema anafanya surprise. Ila ni surprise gani hata kwa mambo ya msingi? .

Naombeni mnisaidie kwa ushauri ili nihinusuru haya mahusiano.nawasilisha
 
Suprize!!!!

Aisee shituka amka kuwa mchunguzi , kuona kama anachepuka.

Usipuuuzie viashilio .
 
acha wivu mtoto wa kiume, mwache mwanamke awe huru.
 
mwache ajiachia au unataka awe goalkipper?
 
Habari wanaJF, nina mpenzi wangu ambaye kimsingi tunapendana na tumekubaliana kufunga ndoa mwaka huu, na hata amefikia hatua ya kunitambulisha kwao. Tatizo linaloninyima raha ni yeye kuondoka ama kusafiri bila kunipa taarifa, mara utasikia yupo kigoma kikazi au kafika nyumbani akitokea safari bila ya taarifa yoyote. Mie kwangu inaninyima raha kwani naona ni kama ananikosea sana, nilishamwambia kuhusu hili tatizo na yeye akasema anafanya surprise. Ila ni surprise gani hata kwa mambo ya msingi? . Naombeni mnisaidie kwa ushauri ili nihinusuru haya mahusiano.nawasilisha

Surprise? Basi utasapraizika sana ukiendelea na uzuzu wa kuamini eti tunapendana sana!
 
Watu wanarambwa na kulamba koni wewe unakalia tunapendana sana, amka toka uliko watu walaaaa, weye walala, haya ndugu...
 
Watu wanarambwa na kulamba koni wewe unakalia tunapendana sana, amka toka uliko watu walaaaa, weye walala, haya ndugu...
 
Mtishe na wewe utaanza kumfanyia surprise ili uone atakujibu vipi, akikupinga na wewe mwambie hata mimi sipendezewi na hako katabia
 
Akikua ataacha,anamalizia malizia kabla hajaingia until to death....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom