Ukitaka usimumizwe na mapenzi fanya mambo yafuatayo. Achana na kufukuzia mwanamke au mwanaume unayemtaka. Jaribu kuwa bize na maisha yako ya kawaida, pambana na maisha, tafuta pesa, fanya kazi, fanya mazoezi ya viungo na lkazi za mikono na muhimu kuliko yote, nenda kanisani uwe mtu wa ibada. I tell you, hiyo spirit ya kuwaza love inaondoka taratibu, na utajikuta wahusika wanakuja wenyewe aisee. Kama wewe ni mwanaume utajikuta mabinti wanajisogeza kwako wenyewe, kazi yako kuchagua