Mapenzi yananitesa sana

Pole sana, uko desperate ya kua na mahusiano ya kuelekea ndoa ndio maana.
Relax, usiwaze ndoa. Mambo yatajipa yenyewe mbele ya safari, usimsahau Mungu kwenye hilo.
Kila la kheri.
Asante.
 
Yule alikua anasumbuliwa kichwa ushamuacha au?
Mi mkongwe ujue?
Kuna uzi uliweka huku siku nyingi kumuombea mkeo msaada.
Elewa sina mke. Sometime ukiwa chizi wa mapenzi unaweza muita demu wako mke au mama.. alafu mwisho wa siku anakukimbia pindi anapo kamilisha mission yake
 
Elewa sina mke. Sometime ukiwa chizi wa mapenzi unaweza muita demu wako mke au mama.. alafu mwisho wa siku anakukimbia pindi anapo kamilisha mission yake
Si tunajua una mke.
Hayo ya uchizi mpaka Mirembe watuhakikishie😬
 
Njoo nikuuzie "Vumbi la Zaire" umalize tatizo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…