Shida inaanzia pale unapoona hela zako zitakufanya ulale na mwanamke yoyote unayemtaka kwasababu pesa unazo.Ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ na nina uchumi wa kati tuu , ila mapenzi yamekua sehemu ya kunitesa sana katika maisha yangu sijui nifanyaje yani yananitesa kweli kweli
1: Nina wanawake wakula nao starehe ila kila nikimaliza kulala nao nafsi inaniuma sana na kunihukumu vibaya mno
2: Natafuta mwanamke wa kuoa ila kila ninae mpenda nakutaka awe mke wangu anakataa sijui shida ilo wapi
3: Nikisema niachane na mapenzi moyo ndiyo unauma zaidi na kuwa mpweke sana
Naombeni msaada ndugu zangu, mimi mapenzi yananitesa sana. Nifanyaje niache kuteseka hivi ndugu zangu
Sawa asante. Ila nifanyaje akili itulie?Jitulize ki akili na kimwili, tufuta mtu kwa utulivu hakika utapata
Hatodumu naye nimalayaWaambie wazazi wakutafutie mke
Aisee 😃😃😃Kufa tu
Mfundishe malaya mwenzako jinsi yakuendana na maishaKufa tu
Dada Unique Flower umejuaje kama huyu jamaa malaya😂😂Mfundishe malaya mwenzako jinsi yakuendana na maisha
Maneno yake tu alivyojielezea ndio utajua si mwema ni kaa mbali na watotoDada Unique Flower umejuaje kama huyu jamaa malaya😂😂
Hujui tu tena ukiwa umezoea sexHivi mapenzi yanatesaje?