Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Duh !!! Kweli Jf haifai " umeshafuata mpaka na ushauri mara hii ".... ndio maana Diwali me Wangu ajiunge na hii platform

Ndio mkuu! kwasababu nilileta hapa ili nishauriwe tu, na ili nifanye mambo mengine lazima nifute tu , mtu mwenye nia nzuri hawezi kuniambia vile mkuu
 
Mtakuja kufa bure mwanamke yake pesa tafuta pesa kwanza wao watakutafuta. NB hata mondi alikuwa na domo ila sasa hv ni handsome
 
Ndio mkuu! kwasababu nilileta hapa ili nishauriwe tu, na ili nifanye mambo mengine lazima nifute tu , mtu mwenye nia nzuri hawezi kuniambia vile mkuu
Yeah. Nikweli hakuwa chaguo sahihi " nafuu kwako ulivyo kubali kumuacha aende "
 
Mtakuja kufa bure mwanamke yake pesa tafuta pesa kwanza wao watakutafuta. NB hata mondi alikuwa na domo ila sasa hv ni handsome
Ndo nimejifunza mkuu! kwlei mwanamke rafiki yake ni pesa tuu
 
Ukiwa na pesa kila mwanamke ni type yako, ukifulia wote si type yako, so pambana ukifikia level flan ya maisha you will mary anyone
 
hizi dedication zimenichekesha nimekumbuka mbali
 
Mapenzi yanakutesa achana nayo..tafuta pesa tu..tengeneza maisha yako..aliepangiwa kua nawe atakuja tu maishani mwako

Mungu hakupi utakacho anakupa unachostahili
 

Brace yourself man, for that is the way for all men. Umemaliza chuo kuwa na plans za maisha. Wanawake wapo. Utakuja pata mzuri hadi ushukuru alituma hiyo message.
I'll tell you why you don't need her. The girl has a "Type"! Yani yeye hupendelea "wanaume" wa aina fulani. Wanawake type hiyo hawawezi deal na change kwa mume wake coz wamefocus kwenye type rather that a man himself. Just let her go
 
Kama kuna kitu ambacho naweza kumshauri kijana ni Tengeneza maisha yako, jipange kuwa vizuri.
Elimu yako, pesa yako mali zako haviwezi kuamka siku na kukunia, mara oh! Kukukosesha raha, ama kukuacha kabisa.
Invest on ur self, these whoes aint loyal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…