Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Naona unaendelea kutoa dozi kwa wavulana.Mimi nakushauri tu ujimalize tena jiue kabisa, ukitaka kufikia uamuzi huo naomba unitafute maana shughuli mojawapo nizifanyazo ni kuuza sanda, majeneza na kuchimba makaburi.
Kuna watu hamjui thamani ya uhai wenu, maisha na uhai wenu mmeuweka rehani kwenye vitu vidogo kama mapenzi au mmewakabidhi watu mioyo yenu.
wewe mapenzi hayakutesi, acha uongo kabisaa! yangekutesa zaidi ungeshajiua!
hajajinyonga wala kwan alikuwa na mpango huo??
jiue...tuje kula ubwabwa!hahahaha mi hoi.