Mh, kwa hizo hasira zako za kumshikia mwenzako kisu hata mie ningekuogopa na kutukukubali kurudiana... Pia hiyo ishu ya kufukiria hadi kumwagia tindikali kiukweli imenitisha! Unaoneka huwezi kukontrol hasira zako. Ili kujiepusha na majanga, nakushauri kwanza achana na huyo dada, jipe muda uache kdg mambo ya mapenzi, relax, naamini utampata atakayekupenda kwa dhati na pia kwa upande wako jitahidi kujirekebisha na uwe unakontrol hasira zako na uamini kuwa likuepukalo lina kheri na wewe so achana na huyo dada, utajaaliwa meingine inshaallah!