Mapenzi yananitesa jamani

mwanawane wewe tafuta tindi kali umwagie tuu huyo bidada alafu na wewe jimalize....maumivu ya kubwagwa nomaaaaaa
 
kaka nilipanga 2014 nimuoe huyu mwanamke,,maana nilishamwambia kwamba baada ya kumalizaa masterz yangu ndo namuoa na yeye akakubali,,lakini baada ya kuanza kazi ndo kabadilika sana,,
 
Mkuu hebu jitazame, angalia how many things have you already achieved? How many attempts have you done in your entire life? How many you achieved? how many you didn't? Take those attempts that you didn't achieve as motivation to move on strongly.
Now, take that woman as one of your failed attempt and use her as stair to go up. Just move ON.

Just think from within, moyo wako na akili vyote vishiriki na uangalie kipi unagain more from her, Faida or Hasara?
Man, learn to be grateful, Otherwise :israel:
 
Heeeee!

Pole yako. Kwani huyo ndo wa kwanza kwako? Kama sio hebu chukua msemo huu uwe unajirudia kwenye fikra zako.

"yeye sio wa kwanza na wala sio wa mwisho, wapo waliokuanza na watakaokuja kesho".

Najua maumivu yake coz kuna kipindi miaka iliopita nilikuwa nina mawazo kama yako bt nw siendekezi mapenzi kihivyo. Fanya mambo ya maendeleo achana na fikra za kijinga.

Kwanza unampa nafasi azidi kukuchezea akili yako. Kwa sababu anajua huwezi kufanya chochote bila yeye. Sasa muoneshe unaweza kufanya mambo mazuri ya maendeleo zaidi ya ulivyokuwa nae. Muoneshe kuwa yeye ndo alikuwa kikwazo cha kufanya maendeleo yako basi.
 

Mkuu kwani umemkuta bikra mpaka umweke alama m0y0ni mwak0.........kumbuka uki0a mwanamke asiye bikra yambua ume0a mpenzi wa mwenzak0,muda w0w0te anakurupuka!!!!!!
 
In life there is no fairy tales, no happily ever afters, no prince charming. In life it's reality where you are gonna be hurt, you are gonna cry. But the best thing about reality is that there is a tomorrow.

Umeongea point sanaaa...kwnye mapenzi lazma ukubali kuumia,chukulia kama part of life ,move on utampata tu mtu mwingine
 
kaka nilipanga 2014 nimuoe huyu mwanamke,,maana nilishamwambia kwamba baada ya kumalizaa masterz yangu ndo namuoa na yeye akakubali,,lakini baada ya kuanza kazi ndo kabadilika sana,,

kataa au ukubali,uhusiano huo kuvunjika sio kosa lake tu,NA WEWE UNAHUSIKA 100,lazma na wewe umebadilika,umwagie tindikali ya ninii?yan mtu unasoma had masters af una mawazo km haya,utaishia jela na vsomo vyako vyote vitakuwa useless,angalia ulipokosea and move on,muachee na maisha yake,..yani hadi mwili vinyweleo vinanisimama kw kusoma hii post yako..mana me my X alishanitishia nikifa nisiende kumzika,..et umwagie tindikali,khahh..where is the love you had for her?if you really love her leave her alone,ukimpenda mtu kwel utataka kumuona ana furaha na mafanikio hata kama hayupo na wewe...mbna watu tushaachwa and we kept being strong japo ilikuwa ngumu
 
Wallah hata mimi nisingekubali kukurudia from nowhere unaniacha..then unantishia kisu hah!
...nani asiependa uhai kwenye hii dunia
...wee kama unaona mapenzi ndo kitu pekee kinachokufanya uishi
..niPM nikupe bomu ujilipue hata nywele isionekane..ila bdada wa watu umuwache apumue
..inaelekea ni mtu wa hasira na visasi hauwezi kujenga mahusiano mazuri kwa mwendo huo.....
 
Big up mdada,,, tena naombea aendelee kukataa uone uchungu alioupata baada ya kumuacha.
 
Mkuu una masters halafu unafiki kama zoba? Ukishammwagia tindi kali utapata faida gani? Hebu jitambue kwanza, jaribu kujenga taswira ujaziwe wanawake katika uwanja wa taifa, kama vile unavyojaa siku ya mechi ya simba na yanga unadhani wote watashindwa uzuri na vigezo vya kuwa mke na huyo x wako?

Nb;watakopohitajika watu wanaojua tindi kali Inapatikana wapi tutakutafuta.
 
Huo mwelekeo wa kutaka kudhuru na kujidhuru, je unatokea sehemu gani ya Tanzania?
 
Huyu jamaa alisikiliza maamuzi ya akili yake kumwambia demu waachane, maamuzi ya akili na moyo ni tofauti, moyo huwa una toa maamuzi ya busara lakini akili inakurupuka.

Hapa ina bidi uwetali kufanya yafuatayo;
Usitumie muda wako kumwazia,
Fanya kazi sana,
Usitafute mpenzi kwa sasa tuliza akili kwanza usije kuchagua koroma.

Kiukweli njia hizi nimekuwa nikizitumia kila mara ninapoachwa na mara zote huwa wanarudi wenyewe ndo hapo na me ninapotezea.


Kuna mwingine nilisha wahi kuachana nae mwaka 1 na nusu akarudi, kuna mwingine miezi 2 na kuna mwingine mwaka akajirudisha, yani hawa huwa wanataka unamkazia tu.

Nitaonekana kana nina ka list karefu kidogo lakini wao ndo huwa wananianza ni najitenga nao, kwa hiyo walisha nikomaza na hilo depo ebu fikilia kama ningekua naumia na kuwazia unayotaka kuyafanya kama wewe ingekuwaje.
 

Unashindwa kuishi kwasababu ya mtu ambae anaishi vizuri na wala hakuwazi kabisa?
Hufai kabisa wewe!!
 
Umeshawah kupenda mkuu?moyo unaweza kumpenda mtu sana kias kwamba hata akitokea bint mwngne mzur kuliko yeyd,kamzid kila kitu unaeza ucmpende huyo mtu kama ulivompenda yule..
Hapo n kukubaliana na ukwel mchungu kujtahd kumove on...ila haiwez kua ndan ya dak moja..time heals japo makovu yanabak
 

wewe huyo tayari kuna mtu kashamshika masikio so ni kawaida kuuma kama unavyoumia nw so jikaze usepe hamna faida ya kuishi na mtu anaekunyanyasa kiasi hicho? Kung'ang'ania ni kama umeopt kujiburuza mwenyewe penzini.
KIMBIA UTAPATA MADONDA YA TUMBO MUDA SI MREFU.
 
sitaki nataka imekuponza pole kwa hasira hizo hata ningekuwa mie ningekimbia kabisa nani anataka kuuliwa dada anapenda maisha yake hawezi kuyaweka rehani
 

Nilishapenda mkuu lakini nilishinda kwa mbinu nilizokupa hizo najua unaumia sana but you a man ni lazima ushinde.
 
kaka ukiona mwanamke kabadilika ujue tayari keshabadilika so hauna haja ya kuumiza kichwa uamuzi uliofanya ni sahihi ,fanya mazoezi kila jioni au asubuh kichwa kitatulia na utapata mwingine hacha mawazo ya ajabu hayo kwani alikuwa ndo mtu wako wa kwanza nn mpaka upagawe hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…