habari wana MMU...ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
ningependa kuwashirikisha hili coz najua nitapata mawazo mbalimbali ya kujenga na si kubomoa hivyo naomba michango yenu ya dhati.
imepita miaka kama saba hivi tangu nimeachana na niliyekuwa nikimpenda kwa dhati na mpaka sasa ninampenda,tatizo nimeingia kwenye relationship na mwanaume mwingine tuna kama wiki tatu, lakini naona kama sio mtu sahihi kwangu coz moyo wangu bado unampenda my ex sijui nifanyaje naombeni mawazo yenu.
je niendelee na huyuhuyu au? note:huyu wa sasa naweza nikakaa hata siku tatu hata ngapi bila kuwasiliana naye na nikaona ni sawa tu.
miaka saba hote hiyo uliishije????yaani uachane na mtu miaka saba bado unaendelea kumpenda??
Good question...nahisi tunadanganywa hapa, au kuna kitu hatuambiwi!

unanichokoza rafiki....Miaka 7 mbona midogo amu!!!! Maex wanatafutana hata mara mbili ya muda huo ili waendelee na penzi lao....Chezeya kupenda/kupendana.
CC: Fixed Point
habari wana MMU...ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
ningependa kuwashirikisha hili coz najua nitapata mawazo mbalimbali ya kujenga na si kubomoa hivyo naomba michango yenu ya dhati.
imepita miaka kama saba hivi tangu nimeachana na niliyekuwa nikimpenda kwa dhati na mpaka sasa ninampenda,tatizo nimeingia kwenye relationship na mwanaume mwingine tuna kama wiki tatu, lakini naona kama sio mtu sahihi kwangu coz moyo wangu bado unampenda my ex sijui nifanyaje naombeni mawazo yenu.
je niendelee na huyuhuyu au? note:huyu wa sasa naweza nikakaa hata siku tatu hata ngapi bila kuwasiliana naye na nikaona ni sawa tu.
Miaka 7 mbona midogo amu!!!! Maex wanatafutana hata mara mbili ya muda huo ili waendelee na penzi lao....Chezeya kupenda/kupendana.
CC: Fixed Point
bora I am not the only oneNapata tabu sana nionapo upuuzi kama huu