Mapenzi yananishinda?

Mapenzi yananishinda?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,252
Mh! Naona nazeeka sasa bila kuwa na mustakabali na maisha haya ya pinguni. Sijajua kama mi ndio nimeshindikana au nawashinndwa hao ninaokuwa nao. Labda mniambie haya maisha ya kifamilia yanahitaji nini hasa. Na pengine atatokea mmoja humu (mwanadada) wa kuninyoosha na kunifunza haya maisha ili tukazeeke wote siku za mbeleni. Hata pm zinaruhusiwa pia. Nijipumzishe na jukwaa la siasa kwa muda pia

------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
ANALYSIS:
Yapo matatizo mengi sana kwenye hii tasnia. La awali kabisa ni Double Coincidence of Want. La pili ni willing and ability to trust. La tatu ni Multiply Effect. Yapo mengi bila shaka. Kutokana na hilo la awali kuwa haba, inapelekea demand na supply kupata mtikisiko. How do you flex capacity when demand is high? And how do you flex demand when capacity is high? As far as Maslow's Hierarchy of Needs is concerned, No one can escape from this vicious circle of affairs. Therefore the only way is to comply with the situation. Unluckily enough there is no formula in this industry and therefore the invisible hand applies. Hiyo ndio hali halisi
 
pole sana usijali utapata

Mh! Naona nazeeka sasa bila kuwa na mustakabali na maisha haya ya pinguni. Sijajua kama mi ndio nimeshindikana au nawashinndwa hao ninaokuwa nao. Labda mniambie haya maisha ya kifamilia yanahitaji nini hasa. Na pengine atatokea mmoja humu (mwanadada) wa kuninyoosha na kunifunza haya maisha ili tukazeeke wote siku za mbeleni. Hata pm zinaruhusiwa pia. Nijipumzishe na jukwaa la siasa kwa muda pia
 
naona hujafunguka vyakutosha!! sasa tatizo lako hasa nini?! hujui kuapproach?! mbahili hadi she wanaku avoid?! funguka!!
 
au ndio unatongoza humu jf kwa style hiyo?! ha! ha! haaaaaa!! haya banah, good luck!!
 
duh! Madongo yameshaanza? Nitarudi kwenye siasa hivi punde
 
Jaribu kuangalia ulipojikwaa na siyo ulipoangukia. Jiulize kwa mfano ni kwanini hao uliowahi kuwa nao hawako nawe. Je tatizo ni wewe au wao? Je ndoa unaichukuliaje? Umejiandaaje na vipi? Je nini matarajio yako? Je ni matarajio yanayowezekana au ya kimalaika? Ni ushauri tu.
 
Kama mapenzi yameshakushindwa utamuumiza dada wa watu jaribu
kitu kingine ambacho unakiweza tofauti na mapenzi kaka .Tuacheni tunaoweza
tuendelee na mambo haya bwana.
 
Kushindwa kawaida tu mbona,inaonesha kweli we ni mpiganaji.Endelea kupigania,ipo siku utashinda.
 
Yapo matatizo mengi sana kwenye hii tasnia. La awali kabisa ni Double Coincidence of Want. La pili ni willing and ability to trust. La tatu ni Multiply Effect. Yapo mengi bila shaka. Kutokana na hilo la awali kuwa haba, inapelekea demand na supply kupata mtikisiko. How do you flex capacity when demand is high? And how do you flex demand when capacity is high? As far as Maslow's Hierarchy of Needs is concerned, No one can escape from this vicious circle of affairs. Therefore the only way is to comply with the situation. Unluckily enough there is no formula in this industry and therefore the invisible hand applies. Hiyo ndio hali halisi
 
unamiaka mingapi? Wazee huwaambia mabinti zao kuwa kama mwanaume anafik miaka 40 hajaoa,kimbia atakuwa na walakini mf wa tabia nk. . . .
 
aisee inabidi upunguze kuwa officila kwenye mambo yako utawadaka tu....na utayanudu haswaa........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom