mapenzi yana raha yake kumbeee ehhhh ??????????

bidodo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
217
Reaction score
90
Hemu sikilizahuu wimbo ameimba Saada Nassor taarab unaitwa (Nidhibiti)
Niiinyweshe huba mpenzi Ninyweshe niiburudiIIke , Niiirovye yako mapenzi nirove niii rowanike.
Uniiiiienzi , UNIENZIII laaaziziii , AAA tuishiiiishiiii,tuishi tufurahiiike
Tudumisheee, tudumisheee letu penzi. Maaaduii, MAADUItuwacheeeke

Naakuuupenda mahabuba, Nakupendaa wewe peekeee, Niiishibishezako huba nishibe niibaridikeee
Siiimtaaaaki laaakiba aaaa niiipendeee , Nipende kwakoniiweeeke
Tusiiiizijaaali zaruuuba na viishindooo , NA vishiindoooovya wahekeeee

Nidhibiti unituunze nitunzeee nihifadhiki, Nihifadhiwanyamaze nipoe nitononooke
Raahaa zakoooo niiiieneezeee milele milele nifarijiike.
Miitiii shaamba waaamalizeee halaafu waweseeekeeee ………..………………………………………
Jamani siiie tulokua young uko mbeleee raha tuuupu nitamuimbia mupenzi hiiiiiiiiiiiiiiiiii hemu jamani kuweni open wakubwa kweli kuna raha. maaana huuu wimbo mzuri saana. ok nawakaribisha wapendwa
 
Ungeweka kaaudio hapo mwanawani.
Mapenzi raha ila uandae meno kwa ajili ya kifundo. Mi nakaaga na kamsumeno kadogo, nikifikia kifundo nachanja lol
 
Mapenzi raha tu ukimpata wa kukupenda na kukuonesha mapenzi, ila penzi la upande mmoja hata sio penzi ni karaha tu
 
Chezeya kupenda na kupendwa weye!!!! Asikwambie mtu bidodo ukibahatika mapenzi ya kweli raha sanaaaa mie huita ni kama pepo ya duniani.

CC: FP snowhite Arushaone zumbemkuu

Hemu sikilizahuu wimbo ameimba Saada Nassor taarab unaitwa (Nidhibiti)
Niiinyweshe huba mpenzi Ninyweshe niiburudiIIke , Niiirovye yako mapenzi nirove niii rowanike.
Uniiiiienzi , UNIENZIII laaaziziii , AAA tuishiiiishiiii,tuishi tufurahiiike
Tudumisheee, tudumisheee letu penzi. Maaaduii, MAADUItuwacheeeke

Naakuuupenda mahabuba, Nakupendaa wewe peekeee, Niiishibishezako huba nishibe niibaridikeee
Siiimtaaaaki laaakiba aaaa niiipendeee , Nipende kwakoniiweeeke
Tusiiiizijaaali zaruuuba na viishindooo , NA vishiindoooovya wahekeeee

Nidhibiti unituunze nitunzeee nihifadhiki, Nihifadhiwanyamaze nipoe nitononooke
Raahaa zakoooo niiiieneezeee milele milele nifarijiike.
Miitiii shaamba waaamalizeee halaafu waweseeekeeee ………..………………………………………
Jamani siiie tulokua young uko mbeleee raha tuuupu nitamuimbia mupenzi hiiiiiiiiiiiiiiiiii hemu jamani kuweni open wakubwa kweli kuna raha. maaana huuu wimbo mzuri saana. ok nawakaribisha wapendwa
 
Last edited by a moderator:
Bidodo umenigusa ndipoooooooo! yani haipiti siku bila kuisikiliza nyimbo hiyoooooo,natamani iwe kweliiiiiii100%
lakini mapenzi yasikuizi mengi yaki china........
 
Kupenda na kupendwa raha jamani. :mwaaah:
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu saudari ni kweli kabisa huu wimbo maneno yake ni matamu sana halafu vyombo vimetulia na uimbaji umetulia sana. Nilipofahamu kwa mara ya kwanza kwamba umeimbwa na huyu jamaa sikuamini kabisa maana nyimbo zake nyingi kwangu mimi ni Mhhhhh!

Mkuu BAK hii nyimbo imetulia sana. Thanks for that.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom