hadisi hii inatufundisha tuwalishe wapenzi wetu.
eti my honey wake, ndo kitu gani icho? ni kifaa cha kulishia wagonjwa nini?
hadisi hii inatufundisha tuwalishe wapenzi wetu.
Penzi penzini !
Kuwa loved and to love aseee ni raha sana!
The feelings that you are cared
asee huoni kama kuna kitu kingine kinaexist!
Not even kuumwa not even kushindwa kula!
Hehehehehehe kuweeeeepo tu pale imempa nguvu ya kula /kunyanyuka/mpk anajiandaa kupokea mgeni!
Asee aaacha bana!
Power of love ya Celine Dion
Isindikize hii post!
Mashairi ya All of Me ya John the Legenf yapeperuke nayo!
Juuust on point!

Asipo kula atanyimwa chakula ya usiku ha ha
Wewee miss wetu unavituukoo