AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
nimewahi sikia hili jambo?
kwamba kuna kipindi fulani,katika mwaka miezi fulani hivi...
huwa inakuwa ina mapenzi zaidi...
na kipindi fulani hivi kunakuwa na kama
ukame hivi........
binafsi huwa na experience kipindi cha mwisho
wa mwaka.......hivi......
utakuta kuna ex gf anakutafuta hivi..
yule uliyemfuatilia zamani anakuwa available...
na kadhali na kadhalika.....
je umewahi kuhisi hiko kitu?????????
au kuamini??????
Hapo hamna haja ya kuongeza mana nahisi haya maneno ni mimi nimeongea....lol