Mapenzi yameurarua moyo wangu

Njoo kwangu mana hata mimi umetatuka tushonane tuu
Asante mkuu... Najipa mda kidogo.. Lakini karbu sana.
And thanks for the offer.. I appreciate much[emoji7]
 
UKIMALIZA KUISOMA HI COMMENT YANGU NENDA KACHEKI AFYA KABISA

HALAFU BAADA YA HAPO ANZA MAISHA MENGINE KULINGANA NA MAJIBU UTAKAYOPATA....!!!!
 
Wahii huku mweeeh!!!ila pole mapenzi yanauma sana uwiiii km nakuona.
Asante mkuu nshapoa.. Ndo tunaimarishwa hivyo mkuu.. Pangine wanaotupenda watakapokuja kwenye maisha yetu.. Tuwape thamani yao
 
UKIMALIZA KUISOMA HI COMMENT YANGU NENDA KACHEKI AFYA KABISA

HALAFU BAADA YA HAPO ANZA MAISHA MENGINE KULINGANA NA MAJIBU UTAKAYOPATA....!!!!
Nshafanya hivyo mkuu.. Wameniambia nirudi after 3 months..
 
Ukweli mtupu Mkuu hawa ni kuwa nao wengi mana hawaeleweki yupi atasavaive..atakae kupenda akupende lasvyo hamna haja ya kumbembeleza akisepa apotee wala usimuulize kwann hadi ashangae njemba vipi hii hata hailalamiki!! Wanawake kitu cha ajabu sana sijawahi ona mimi
 
 
Yaani unazingua kishenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…