Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,763
- 27,152
Achana na siasa, leo nimeshangaa kuona nyuzi za ajira humu JF hazipati engagement kabisa japo watu wanalalamikia kuwa majobless na ugumu wa maisha. Kwani shida ni nini?
Kama mdau wa uandishi wa nyuzi za masihara, mapenzi na mahusiano ambazo huwa zinapata uchangiaji mkubwa wa wanajukwaa, nimeshangazwa na utofauti wa mapokeo ya nyuzi hizi za fursa.
Haya watani zangu Big Balls na Mbaga Jr labda tuwe tunapita na humu kwenye nyuzi za ajira na opportunities tunaweka videos za bonge la dada na makalio ili watu wachukulie serious opportunies zinazopatikana JF.
Cc:
Mama Ndege
Baba Ndege secretarybird
min -me
Aaliyyah
Shyshka Reinhardt