Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
Duh..kwa hiyo ukipita kiwanda cha sabuni unainamisha macho make unaogopa kukutana na mama wakwe zako..
Hahahaaaaa mbavu zangu jamani duuh.
Duh..kwa hiyo ukipita kiwanda cha sabuni unainamisha macho make unaogopa kukutana na mama wakwe zako..
Sasa mdogo wangu wawili tu umekata tamaa be strong!. Unajua ulipoanza mahusiano ya mwanzo ulikuwa bado Sekondari mara nyingi mahusiano hayo ni machache mno yanayozaa ndoa so you are not exceptional. Mara ya pili wakati unaanza Chuo sasa huyo akaolewa hapa pia ni suala la boyfriend na girlfriend ukumbuke bado ulikuwa Chuo ndio unaanza ungehitaji miaka takriban umalize Chuo kisha uanze kazi ukijajiimarisha ndio UOE sasa si rahisi kwa kina dada kusubiri miaka yote hiyo ingawa wapo wachache na pia hana uhakika na wewe kama utatimiza ahadi sasa anapojitokeza mtu serious kutaka kuoa wengi hukubali hasa kutokana na ushawishi ndani ya familia.
Ushauri wangu: Mahusiano yaliyopita yachukulie kuwa yalikuwa ya utoto. Pili hiyo kitu (ponyeto) achana nayo sio suluhisho kwani baadae utataka uwe na familia na hiyo akisaidii. Tatu jipange kwa ajili ya ndoa kisha tafuta mchumba kwa mujibu wa vigezo vyako. Nafikiri haya yatakusaidia.
Wanajf nimekuwa sijihusishi na mapenzi kwa muda wa miaka saba sasa,si kwa kupenda ila kutokana na machungu niliyo yapata.kwanza mpenzi wangu wa kwanza niliahidiana kufika naye mbali kimahusiano nilipoenda a-level nikakuta ameabort mimba ya mtu mwingine akanichiti nami nikashit.nilipata wa pili nikiwa naenda chuo tukaahidiana kuoana and ofcoarse tulipendana sana but alinipigia cm anaolewa na akaomba radhi kwa hilo.alternatively napiga musterbt ndio nimepotea or what the hell is this?iloved those girls!
Hakunaga girl wa ukweli now wote ni vigeu geu tu.
Ndo mana wadau wengi huwa wanawamega tu.
Mim mwenyewe na hasira nao sana tena wakae na wanipitie mbali kabisaaaaaa.
Nyeto haina dili mkuu utakuja pata girl wa ukweli na mwaminifu na ukashindwa kupiga mechi kunako samweli sita.