Mapenzi yamenibadilisha mno

Mapenzi yamenibadilisha mno

Ongeza watoto Pastor Muyamba! Usitishike. Kama itatokea mkuu wetu akaupitia huu uzi wako, anaweza hata kukuzawadia burungutu la hela! maana alishaturuhusu kitambo tufyatue tu kwa sababu tuna ardhi ya kutosha na nchi yetu ni kubwa sana hii! Hatuna kabisa kesi za overpopilation!
 
Jiandae kufa masikini mkuu, kama huwezi kuzi control sexual desire zako jiandae na consequences zinazokuja hivi punde na you gonna pay a heavy price. Mambo matatu ya kukusaidia kwa haraka, bado hujachelewa (1) Tafuta investment ambayo itakushughulisha sana na kusahau hayo mambo (2) Angalia kizazi chako, watoto mkuu waangalie kwa jicho la huruma sana, na ubaya wa dhambi ya uzinzi ni kuwa ni deni na lazima lije kulipwa the dipper you fuc*** the heavier the price you pay, jee upo tayari Binti zako nao waje kugeuka punda kila mwanaume anapanda? wahurumie wanao mkuu. (3) Pindua fikra za Maisha yako jaribu kuji connect na waliofanikiwa upate idea Zaidi na kuichukulia fedha kwanza kuliko starehe.
 
Habari za muda huu ndugu,

Sikuwahi kufikiria kutoka nje ya ndoa yangu,lakini baada ya kukaa muda mrefu bila mtoto niliamua kutoka.

Sasa nashindwa kutulia na mke wa ndani japo huyu wa ndani tayari ana mtoto.

Pia huko nje wapo wawili na mimba tatu,sasa nashindwa kutulia tamaa zinazidi ,kuwaka,

Njooni wanaume wenzangu mnipe mbinu ya kuachana na hili jambo.Nawatakia kazi njema.
Hayo ni maajabu ya 7 ya Dunia, wanawake 2 wna mimba 3?
 
Back
Top Bottom