Mapenzi yamenibadilisha mno

Mapenzi yamenibadilisha mno

pastor muyamba

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
252
Reaction score
135
Habari za muda huu ndugu,

Sikuwahi kufikiria kutoka nje ya ndoa yangu,lakini baada ya kukaa muda mrefu bila mtoto niliamua kutoka.

Sasa nashindwa kutulia na mke wa ndani japo huyu wa ndani tayari ana mtoto.

Pia huko nje wapo wawili na mimba tatu,sasa nashindwa kutulia tamaa zinazidi ,kuwaka,

Njooni wanaume wenzangu mnipe mbinu ya kuachana na hili jambo.Nawatakia kazi njema.
 
Hiyo inaitwa endelea kufaudu hakuna namna,ila mfuko wako utapunguza sana mana matumizi yatakua makubwa
Habari za muda huu ndugu,

Sikuwahi kufikiria kutoka nje ya ndoa yangu,lakini baada ya kukaa muda mrefu bila mtoto niliamua kutoka.

Sasa nashindwa kutulia na mke wa ndani japo huyu wa ndani tayari ana mtoto.

Pia huko nje wapo wawili na mimba tatu,sasa nashindwa kutulia tamaa zinazidi ,kuwaka,

Njooni wanaume wenzangu mnipe mbinu ya kuachana na hili jambo.Nawatakia kazi njema.
 
Kuna mtaalamu lifecoded anasema umshindwa kufuata sheria ya the law of gratitude sasa subiri ulimwengu uje kukunyang'anya usichokithamini alafu ukutane na karma..hapa kuna the law of cause and effect unapanda ulichokivuna..

Una kazi ya kujitakasa kwanza la sivyo hutasonga mbele
 
Huo ndyo ushsuri nitakukumbuka

kuna mbinu gani zaidi ya kuacha ?
 
Unaanzaje kuacha wakati watoto ulionao hawatoshi ?
 
Habari za muda huu ndugu,

Sikuwahi kufikiria kutoka nje ya ndoa yangu,lakini baada ya kukaa muda mrefu bila mtoto niliamua kutoka.

Sasa nashindwa kutulia na mke wa ndani japo huyu wa ndani tayari ana mtoto.

Pia huko nje wapo wawili na mimba tatu,sasa nashindwa kutulia tamaa zinazidi ,kuwaka,

Njooni wanaume wenzangu mnipe mbinu ya kuachana na hili jambo.Nawatakia kazi njema.
ita jina la Yesu, ilo ni pepo la ng'ono!
 
Back
Top Bottom