mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Habari wana JF natumai muko salama kwa siku hii ya leo
Limeibuka swali katika kichwa changu linaniumiza sana naomba munipe muongozo wenu
Mapenzi yamekua ni ajira siku hizi kwani nijaribu kila coment ya wadau wanaotafuta wenza (wapenzi) katika janvi hili masharti wanayoyataka ni zaidi ya ajira sijui sababu ni mara nyingi mtu husema anaemtaka awe na vigezo km hivi:-
1 awe handsame na mtanawhati
2 awe muajiriwa au aliejiajiri
3 awe na elimu angalau chuo
4 awe awe anatoka kabila fulani au dini fulani n.k
Mi naona ni jambo la ajabu hayo yanafana kabisa na masharti ya kuomba ajira kilichokufanya utafute mwenza hapa JF ni kua jicho na moyo wako umekosa kua na uwezo km wa google seach kumtafuta mwenza masharti yote hayo unataka usaidiweje. Mapenzi ya kweli hayaendani na elimu ya mtu na na mwenye elimu hawezi kua na mapenzi ya kweli kwani wengi wanamgombania hasa mwanaume.
Jeee mioyo inahitaji faraja au inahitaji maslahi zaid?