Mapenzi yamekua ni ajira

Mapenzi yamekua ni ajira

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari wana JF natumai muko salama kwa siku hii ya leo

Limeibuka swali katika kichwa changu linaniumiza sana naomba munipe muongozo wenu

Mapenzi yamekua ni ajira siku hizi kwani nijaribu kila coment ya wadau wanaotafuta wenza (wapenzi) katika janvi hili masharti wanayoyataka ni zaidi ya ajira sijui sababu ni mara nyingi mtu husema anaemtaka awe na vigezo km hivi:-
1 awe handsame na mtanawhati
2 awe muajiriwa au aliejiajiri
3 awe na elimu angalau chuo
4 awe awe anatoka kabila fulani au dini fulani n.k

Mi naona ni jambo la ajabu hayo yanafana kabisa na masharti ya kuomba ajira kilichokufanya utafute mwenza hapa JF ni kua jicho na moyo wako umekosa kua na uwezo km wa google seach kumtafuta mwenza masharti yote hayo unataka usaidiweje. Mapenzi ya kweli hayaendani na elimu ya mtu na na mwenye elimu hawezi kua na mapenzi ya kweli kwani wengi wanamgombania hasa mwanaume.

Jeee mioyo inahitaji faraja au inahitaji maslahi zaid?
 
Mkuu mapenzi ya kisasa ukisubiri mapenzi ya faraja, yesu atarudi kabla hujayapata, siku hizi ni maslahi tena kwa wanaume na wanawake pia.
 
mapenzi ya sasa ili uweze kuyamudu inakupasa uwe na mtu ambae hampishani sana katika mambo mengi kama umri, kipato, elimu, uelewa, urefu na kadhalika. haina maana kuwa ukipata mtu wa tofauti na sifa zako hamtadumu ila inapendeza sana kama unakuwa na mtu ambaye utaweza kushare nae mambo mbalimbali ya kimaisha.
 
Huwezi kuwa kwenye mapenzi kama huna hivyo vitu.

Pesa ndo driving licence ya mapenzi, kama huna uta enjoy vipi.

Kazi muhimu sana, kama huna kazi si kila mmoja atakuona lofa tu.

Kama unapenda mwanamke mzuri lazima na wewe uwe Handsome, kama wewe sio Handsome yanini utafute mwanamke mzuri, tafuta wale wabaya ili mpate ku match:biggrin:
 
ukome kunipm pm nitakureport kwa mods ,
peleka uhuni wako huko huko
huna adabu naona,
kwani Smile we bikra mbona unazingua watu kwnye thread hebu malizaneni huko huko chumbani
 
Last edited by a moderator:
Pesa ni muhimu kuliko elimu tena ninazo nakukaribisha tuzitumie Smile
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom